Usindikaji wa pilipili na nyanya

Usindikaji wa pilipili na nyanya

Nashukuruni kwa ushauri na mawazo yenu wote mliochangia
 
  • Thanks
Reactions: tz1
muvimba
Umelenga kabisa ninacho taka, shida kubwa ni kuzifanyia parking zisi-fermant, au lazima nitafute semina au mafunzo ya dalasani kabisa kwaajili ya usindikaji? Pia vifaa na material yote toka chemicals blender size ipi, na gharama kwa makadilio, pia sehem zinazo weza kupatikana.
Pia niko sengerema
 
Last edited by a moderator:
Hello guys, naomba nianze hivi alafu then ntakwenda kumsaidia kijana huyu mdau wa sengerema,ok nashukuru sana naona sasa unataka kwenda hatua nyingine na hapo ndipo nilikuwa nasubili wadau waweze kuchangia, kwa muda mfupi kwa sasa baada ya kuanza ujasiliamali baada ya kumaliza shule na kufanya kazi sehemu mbali mbali nimejifunza kuwa food processing au value addition katika mazao mengi hapa nchini ni changamoto kubwa sana, kuna farm loss kubwa sana nafikiri kama 40-60% na bado sisi vijana wa kitanzania hatujaona kuwa hii ni opportunity kwetu, niseme tena na tena naomba vijana wa kitanzania sisi ambao tumenawa tongo tongo kidogo embu tuje na mtazamo mwingine wa kufanya processing kama mdau huyu anavyotaka kufanya, ntakuwa tayali kushirikiana na wadau wengine toka sehemu yeyote ya nchi hii kufanya value additional.

ndugu mdau nimefurahi sana kwa hatua hii, sasa ningependa kwa ajili ya ushahuri zaidi na embu ni PM ili tupeane nondo na elimu nzuli ya kutegeneza mambo haya, na bado hata kwa wadau wengine kama mtu atapenda kutegeneza angalau ka micro plant ka tomato sauce, chachandu embu tukutane na kupeana ABCD.

aksante
Umelenga kabisa ninacho taka, shida kubwa ni kuzifanyia parking zisi-fermant, au lazima nitafute semina au mafunzo ya dalasani kabisa kwaajili ya usindikaji? Pia vifaa na material yote toka chemicals blender size ipi, na gharama kwa makadilio, pia sehem zinazo weza kupatikana.
Pia niko sengerema[/QUOTE]
 
Naungana na Muvimba kwa kiasi ushauri aliotoa. Napenda niongeze kidogo kwa kusema haya machache. Kama unatamani kufanya biashara hiyo kwanza kabisa take time kuijua. soma sana, nenda sido na taasisi zingine ambazo unaweza kupata infomation zitakazokusaidia. Ukishaijua vema sasa njoo tutengeneze legal status ya biashara yako. Yaani usajili, Tin, Leseni, Vibali vya TFDA, n.k karibu sana
Chipukizi
Asante sana kwa ushauri wako, kwa kua imelazim kupitia usajiri wa kampuni kwanza non-limited, naomba wataaram wa mambo haya ya kusajiri wanipe ushauri hapa, naomba Busiminate na ANJOA CPN pitieni hapa mnishauri baada ya kusoma thread hii, sababu itanilazimu niombe likizo october ili niende dar kusajiri
 
KUSINDIKA NYANYA
Nyanya ni zao ambalo haliwezi kuifadhika kwa muda mrefu lisipozindikwa zao hili ni zao la bustani ambalo linalimwa na wakulima na linahitajika katika shughuli za jikoni kama kiungo cha kuungi mboga, wakulima wemgi wamekuwa wakipata hasara kwa kulima zao la nyanya na kukata tamaa ya kulima zao hili tena ni kwanini kwa sababu bei ya zao hushuka pale ambapo zao hilo linapatikana kwa wingi sokoni na kumfanya mkulima ashidwe kupata faida kwa sababu zao linapokuwa lipo kwa wingi sokoni na uhitaji wa watu ni mdogo bei hushuka lakini kunakipindi ambacho zao halipatikani kwa wingi sokoni na kuwa na bei kubwa kipindi hiki ni kipindi ambacho mkulima ambaye ni mbunifu anatengeneza pesa lakini atatengenezaje pesa ni kwa kuchakata zao hilo na kulihifadhi na kuuzwa kwa bei ya juu.

Zao la nyanya ni zao ambalo hisindikwa na kupata bidhaa mbalimbali kuepuka uhalibifu wa zao hilo, kuongeza ubora na thamani, na kuwezesha upatikanaji wakati wote, zao hili huzidhikwa kuwa nyanya za kukausha,juice,lahamu na sosi au rojo.

KUKAUSHA NYANYA
Nyanya zinazotakiwa ni zile zilizokomaa na kuiva vizuri. Aina ya nyanya zinazotakiwa ni zile zenye nyama nyingi kama roma, Tanya na tengeru 97.

Vifaa
  • Visu vikali visivyoshika kutu
  • Ungo
  • Sufuria
  • Jiko
  • Kaushio bora
  • Mifuko ya plastiki
  • Beseni
Jinsi ya kukausha
  • Chagua nyanya zilizokomaa na kuiva vizuri
  • Osha kwa maji safi na salama
  • Kata nyanya kwenye vipande visivyozidi muilimita tano
  • Panga kwenye kaushio safi ili zikauke
  • Fungasha vipande vya nyanya vilivyokauka kwenye mifuko safi ya plastiki isiyopitisha unyevu
  • Weka lebo inayoonyesha muda wa kuisha matumizi kwa mwaka mmoja kutoka siku ya kutengenezwa
  • Hifadhi sehemu yenye ubaridi na kavu.
  • Hutumika kama viungo kwenye vyakula mbalimbali
KUSINDIKA NYANYA KUPATA JUISI
  • Chukua nyanya zilizoiva na kukomaa vizuri
  • Osha kwa maji safi na salama
  • Katakata nyanya katika vipande vidogo
  • Pima uzito wa nyanya
  • Kwa kilomoja ya nyanya ongeza maji lita moja
  • Chemsha kwemye moto kwa muda wa dakika 5 moto uwe na nyuzi joto 85
  • Saga nyanya kwa kutumia mashine ya mkono au umeme
  • Chuja rojo ili kupata juisi
  • Ongeza sukari gram 20 na chumvi gram 10 kwa kila lita moja ya rojo
  • Chemsha tena kwa muda wa dakika 20
  • Jaza juisi ikiwa ya moto kwenye chupa safi
  • Zipange chupa hizo kwenye sufuria
  • Weka maji kwenye sufuria yafii nusu ya chupa
  • Chemsha tena ili kuondoa hewa iliyoupo ndani ya chuapa
  • Ipua acha zipoe kisha weka lebo
  • Hifadhi kwenye ubaridi

Juisi hii huifadhiwa kwa muda wa miezi sita, hutumika kama kiburudisho
 
Kaka nkitu vizuri hongera,ila Nina swàli nyanya inaanikwa juani ili iweze kuhifadhiwa au sehemu isiyo na jua kali? Natamani kuanza kutengeneza .
KUSINDIKA NYANYA
Nyanya ni zao ambalo haliwezi kuifadhika kwa muda mrefu lisipozindikwa zao hili ni zao la bustani ambalo linalimwa na wakulima na linahitajika katika shughuli za jikoni kama kiungo cha kuungi mboga, wakulima wemgi wamekuwa wakipata hasara kwa kulima zao la nyanya na kukata tamaa ya kulima zao hili tena ni kwanini kwa sababu bei ya zao hushuka pale ambapo zao hilo linapatikana kwa wingi sokoni na kumfanya mkulima ashidwe kupata faida kwa sababu zao linapokuwa lipo kwa wingi sokoni na uhitaji wa watu ni mdogo bei hushuka lakini kunakipindi ambacho zao halipatikani kwa wingi sokoni na kuwa na bei kubwa kipindi hiki ni kipindi ambacho mkulima ambaye ni mbunifu anatengeneza pesa lakini atatengenezaje pesa ni kwa kuchakata zao hilo na kulihifadhi na kuuzwa kwa bei ya juu.
Zao la nyanya ni zao ambalo hisindikwa na kupata bidhaa mbalimbali kuepuka uhalibifu wa zao hilo, kuongeza ubora na thamani, na kuwezesha upatikanaji wakati wote, zao hili huzidhikwa kuwa nyanya za kukausha,juice,lahamu na sosi au rojo.

KUKAUSHA NYANYA
Nyanya zinazotakiwa ni zile zilizokomaa na kuiva vizuri. Aina ya nyanya zinazotakiwa ni zile zenye nyama nyingi kama roma, Tanya na tengeru 97.

Vifaa
Visu vikali visivyoshika kutu
Ungo
Sufuria
Jiko
Kaushio bora
Mifuko ya plastiki
Beseni
Jinsi ya kukausha
chagua nyanya zilizokomaa na kuiva vizuri
osha kwa maji safi na salama
kata nyanya kwenye vipande visivyozidi muilimita tano
panga kwenye kaushio safi ili zikauke
fungasha vipande vya nyanya vilivyokauka kwenye mifuko safi ya plastiki isiyopitisha unyevu
weaka lebo inayoonyesha muda wa kuisha matumizi kwa mwaka mmoja kutoka siku ya kutengenezwa
hifadhi sehemu yenye ubaridi na kavu.
Hutumika kama viungo kwenye vyakula mbalimbali

KUSINDIKA NYANYA KUPATA JUISI
chukua nyanya zilizoiva na kukomaa vizuri
osha kwa maji safi na salama
katakata nyanya katika vipande vidogo
pima uzito wa nyanya
kwa kilomoja ya nyanya ongeza maji lita moja
chemsha kwemye moto kwa muda wa dakika 5 moto uwe na nyuzi joto 85
saga nyanya kwa kutumia mashine ya mkono au umeme
chuja rojo ili kupata juisi
ongeza sukari gram 20 na chumvi gram 10 kwa kila lita moja ya rojo
chemsha tena kwa muda wa dakika 20
jaza juisi ikiwa ya moto kwenye chupa safi
zipange chupa hizo kwenye sufuria
weka maji kwenye sufuria yafii nusu ya chupa
chemsha tena ili kuondoa hewa iliyoupo ndani ya chuapa
ipua acha zipoe kisha weka lebo
ifadhi kwenye ubaridi
juisi hii huifadhiwa kwa muda wa miezi sita
hutumika kama kiburudisho

Unaweza kujipatia hii booklet ya usindikaji na uhifadhi wa Nyanya kwa uelewa zaidi
Inbox namna ya kuipata
 
Attachments

  • Usindikaji wa Nyanya Booklet.jpg
    Usindikaji wa Nyanya Booklet.jpg
    176.6 KB · Views: 90
  • USINDIKAJI NA UHIFADHI.doc
    USINDIKAJI NA UHIFADHI.doc
    3.9 MB · Views: 82
Sikupata msaada kabisa , taarifa hizi ninazihitaji bado maana tayari nishapata eneo, na nilianza kutafuta elimu ya kilimo , ili nizalishe na kuprosses, taaruma ya food prossecing naona itachukua mda mrefu pia, ningepata wa kuniongoza ingependeza sana
 
Back
Top Bottom