Magufuli ameacha.monuments sio vituzo vya kupewa. Vyuo vikuu wanamuongelea duniani ni.zaidi ya.tuzo
..chuo kikuu gani wanamuongelea MUUAJI yule?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli ameacha.monuments sio vituzo vya kupewa. Vyuo vikuu wanamuongelea duniani ni.zaidi ya.tuzo
Hata huyo Magufuli wako hiyo PhD yake ni ya mchongo,watu walivyoanza kumzongazonga aeleze vizuri wengine wamepotea hadi leo hata hawajulikani walipo.Rais wa kwanza kupewa udaktari wa heshima ni mh Jakaya.
Udaktari wa Magufuli ulikuwa wa darasani kama walivyo wasomi wengine lakini kwasasa ambiwa hata mbunge msukuma mwenye elimu ya la darasa la saba na yeye ni Dr Joseph Msukuma.
Hii ni ajabu kwelikweli itabidi na sisi humu jf tuangalie baadhi ya watu ambao wametoa michango mingi humu jamii forums tuwape udaktari wa heshima.!
Hakuna mpenda kusifiwa kama Magufuli.Magufuli hakuwa mtu anayependa kusifiwa ! Alijua watu wengi huwasifia watawala sifa za unafiki ili waendelee kutawala! Magufuli aliwahi kusema hata kupendwa hahitaji mtu wa kumpenda kwani akipendwa na Janet inatosha sio lazima kupendwa na watu wote!
Lakini kwa mama yetu yaonyesha anapenda sana kusifiwa!
Kila Mtu Ameshangaa Hizo Rangi Za MvuaMbona tuzo ina rangi za upinde
Mkuu, ni mahaba tu au ni fact?Rais wa kwanza kupewa udaktari wa heshima ni mh Jakaya.
Wanawake ukiwapa sifa unadhani wanaweza kujali chochote ndio huyo mama yenu.hakuna kitu maisha yake ni tuzo tu.View attachment 3225878View attachment 3225879
Wakati Rais wa nchi anakula maisha na private jet, Na kufurahia tuzo zisizokuwa na tija kwa watanzania ambao wengi bado wanaishi chini ya dola moja, jiji la Daresalaam lenye shule za sekondari za umma 179 zenye wanafunzi 250,000 zina vitabu elfu 82 tu vya somo la lugha ya kiingereza, somo la Civics lina vitabu elfu 50 pekee.
Kuna matundu ya vyoo yasiyozidi 4,000, shule zote zilizopo kwenye manispaa ya Ubungo zina laptops 19 tu, na zaidi ya wanafunzi 50,000 hawana meza wala kiti cha kukalia. Kesho matokeo yakitoka tukiambiwa kwenye darasa la wanafunzi 500 shule ya sekondari Taifa asilimia 95% wamepata division four na zero.
Cheo cha urais pekee kinatosha kumpatia hata mtu 'mwembamba' kuitwa 'mheshimiwa mnene' au mtu mfupi kuitwa 'mheshimiwa mrefu' na sifa zingine kedekede ambazo ukiamua kupachikwa utapachikwa tu kutokana na cheo chako, utaitwa Dr. hata kama haukwenda shule! Lakini ukiwa kama kiongozi wa kweli, unapaswa kujiuliza hato yote yana manufaa gani hali ya kuwa bado wananchi wako ni masikini?
Hawana uwezo kupata milo mitatu kwa siku? Ukiwa kiongozi ambaye si 'humble' utakumbatia hizo tuzo na kupokea sifa mwishowe zinakupofusha na kulewa madaraka. Kiongozi wa aina hii hafai katika jamii za kiafrika.
Nyerere, Mkapa kina Mandela katika uongozi wao kama wangetaka wangepokea zawadi, tuzo, vyeo vya Phd hata uprofesa pia. Lakini hawakutaka, kwa sababu zingekuwa na maana gani hali ya kuwa nchi zetu bado zina changamoto nyingi?
Pia soma
- Rais Dkt. Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award
Rais asiye makini anapokea tuzo.yy anachoangalia ni sifa tu,hata kama mtaharibikiwa ilimradi yy kasifiwa kama mwanamke.View attachment 3225878View attachment 3225879
Wakati Rais wa nchi anakula maisha na private jet, Na kufurahia tuzo zisizokuwa na tija kwa watanzania ambao wengi bado wanaishi chini ya dola moja, jiji la Daresalaam lenye shule za sekondari za umma 179 zenye wanafunzi 250,000 zina vitabu elfu 82 tu vya somo la lugha ya kiingereza, somo la Civics lina vitabu elfu 50 pekee.
Kuna matundu ya vyoo yasiyozidi 4,000, shule zote zilizopo kwenye manispaa ya Ubungo zina laptops 19 tu, na zaidi ya wanafunzi 50,000 hawana meza wala kiti cha kukalia. Kesho matokeo yakitoka tukiambiwa kwenye darasa la wanafunzi 500 shule ya sekondari Taifa asilimia 95% wamepata division four na zero.
Cheo cha urais pekee kinatosha kumpatia hata mtu 'mwembamba' kuitwa 'mheshimiwa mnene' au mtu mfupi kuitwa 'mheshimiwa mrefu' na sifa zingine kedekede ambazo ukiamua kupachikwa utapachikwa tu kutokana na cheo chako, utaitwa Dr. hata kama haukwenda shule! Lakini ukiwa kama kiongozi wa kweli, unapaswa kujiuliza hato yote yana manufaa gani hali ya kuwa bado wananchi wako ni masikini?
Hawana uwezo kupata milo mitatu kwa siku? Ukiwa kiongozi ambaye si 'humble' utakumbatia hizo tuzo na kupokea sifa mwishowe zinakupofusha na kulewa madaraka. Kiongozi wa aina hii hafai katika jamii za kiafrika.
Nyerere, Mkapa kina Mandela katika uongozi wao kama wangetaka wangepokea zawadi, tuzo, vyeo vya Phd hata uprofesa pia. Lakini hawakutaka, kwa sababu zingekuwa na maana gani hali ya kuwa nchi zetu bado zina changamoto nyingi?
Pia soma
- Rais Dkt. Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award
fanya kazi ndugu hayo unajichosha tu fuata mambo yak unajitafutia pressure bureView attachment 3225878View attachment 3225879

Siyo kweli,Rais wa kwanza kupewa udaktari wa heshima ni mh Jakaya.
Nimezungumzia hii ya kuitwa dk Kikwete, dk msukuma, dk Samia.Siyo kweli,
Nyerere alipewa shahada (baadhi PhD) na tuzo nyingi tu, angeweza kujaza "tranka" zima ila sema hakupenda masifa tu.
Hata Mkapa alipewa pia...
Honoraries and Award — Mwalimu Julius K. Nyerere Honoraries and Award — Mwalimu Julius K. Nyerere
Yupi huyo wandugu ?Yule mzee raia wa hifadhi ya Gombe aje anyooshe maelezo hapa.
Kivipi?! Kwani uliwahi kusikia mkapa au Mzee Mwinyi wakiitwa Dr Benjamin mkapa au Dr Ali Hassan Mwinyi?!Mkuu, ni mahaba tu au ni fact?
Siyo kweli!Hakuna mpenda kusifiwa kama Magufuli.
Mkapa na Nyerere walipewa hizo hizo za udaktari wa heshima, lakini KISOMI zapaswa kutajwa mwisho wa jina tu, naona maprofesa wa vyuo vyetu wameamua kuwa mabubu UKWELI hawausemi ! !Nimezungumzia hii ya kuitwa dk Kikwete, dk msukuma, dk Samia.
Sio kila tuzo na shahada kuwa ni udaktari.
Yawezekana Nyerere na mkapa walipewa tuzo na shahada kwa mambo mengine ila sio udaktari.
Wazazi lazima kwanza kutafuta dawa ya hili Tatizo la baadhi ya vyama kulazimisha wanafunzi kuacha masomo na kwenda kwenye sherehe za vyama ,sijui tumefikaje apa, huu ni ujinga mkubwa sana, naambiwa leo DODOM shule katikati ya jiji wanafunzi hawakuendelea na masomo eti wanaenda kwenye sherehe za ccm.View attachment 3225878View attachment 3225879
Wakati Rais wa nchi anakula maisha na private jet, Na kufurahia tuzo zisizokuwa na tija kwa watanzania ambao wengi bado wanaishi chini ya dola moja, jiji la Daresalaam lenye shule za sekondari za umma 179 zenye wanafunzi 250,000 zina vitabu elfu 82 tu vya somo la lugha ya kiingereza, somo la Civics lina vitabu elfu 50 pekee.
Kuna matundu ya vyoo yasiyozidi 4,000, shule zote zilizopo kwenye manispaa ya Ubungo zina laptops 19 tu, na zaidi ya wanafunzi 50,000 hawana meza wala kiti cha kukalia. Kesho matokeo yakitoka tukiambiwa kwenye darasa la wanafunzi 500 shule ya sekondari Taifa asilimia 95% wamepata division four na zero.
Cheo cha urais pekee kinatosha kumpatia hata mtu 'mwembamba' kuitwa 'mheshimiwa mnene' au mtu mfupi kuitwa 'mheshimiwa mrefu' na sifa zingine kedekede ambazo ukiamua kupachikwa utapachikwa tu kutokana na cheo chako, utaitwa Dr. hata kama haukwenda shule! Lakini ukiwa kama kiongozi wa kweli, unapaswa kujiuliza hato yote yana manufaa gani hali ya kuwa bado wananchi wako ni masikini?
Hawana uwezo kupata milo mitatu kwa siku? Ukiwa kiongozi ambaye si 'humble' utakumbatia hizo tuzo na kupokea sifa mwishowe zinakupofusha na kulewa madaraka. Kiongozi wa aina hii hafai katika jamii za kiafrika.
Nyerere, Mkapa kina Mandela katika uongozi wao kama wangetaka wangepokea zawadi, tuzo, vyeo vya Phd hata uprofesa pia. Lakini hawakutaka, kwa sababu zingekuwa na maana gani hali ya kuwa nchi zetu bado zina changamoto nyingi?
Pia soma
- Rais Dkt. Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award
Acha uvivu wa kusoma.Nimezungumzia hii ya kuitwa dk Kikwete, dk msukuma, dk Samia.
Sio kila tuzo na shahada kuwa ni udaktari.
Yawezekana Nyerere na mkapa walipewa tuzo na shahada kwa mambo mengine ila sio udaktari.
Ningekuelewa kama ungesema mkapa na Nyerere walipewa kama hizohizo wakakataa!Mkapa na Nyerere walipewa hizo hizo za udaktari wa heshima, lakini KISOMI zapaswa kutajwa mwisho wa jina tu, naona maprofesa wa vyuo vyetu wameamua kuwa mabubu UKWELI hawausemi ! !
Nashangaa huyu anavyolazimisha kutukuzwaNyerere, Mwinyi na Mkapa hawakuwahi kulazimisha kuitwa Dr.
Naona nyingi alitunukiwa akiwa keshang'atuka!Acha uvivu wa kusoma.
Nimeweka hapo link.
Nyerere alipewa shahada za udaktari (PhD) nyingi tu...
Hata Mkapa alitunukiwa nyingi tu.
Za Nyerere baadhi hizi hapa chini:-
▪︎ Claremont University Centre (United States of America) - Doctor of Laws for Claremont graduate School California (17th May 1997)
▪︎ Universities of Philippines (Philippines) - Honorary Doctorate of Humanities (12th July 1991)
▪︎ Havana University of Cuba (Cuba) - Honorary Degree of Doctor Of Philosophy (30th Sept 1985)
▪︎ Pyongyang University (Korea) - Honorary Doctorate of Philosophy (28th March 1985)
▪︎ Ljubliana (Yugoslavia) - Honorary Doctoral of Law (26 March 1985)
▪︎ Manila (Philippines) - Honorary Doctor Degree (12th October 1992)
▪︎ Sokoine University of Agriculture (Tanzania) - Doctor of Philosophy Honoris Causa (28th November 1997)
▪︎ University of Fort Hare (South Africa) - Doctor of Laws Honoris Causa (23rd April 1998)
▪︎ Makerere University Kampala (Uganda) - Honorary Doctor of Laws (29th January 1993)
▪︎ nk