Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 406
Wakuu! Habari zenu??
Mimi mwenzenu hapa nasumbuliwa sana na usingizi baada ya kupata chakula cha mchana.
Tatizo ni nini hasa?
Kuna solution ya hili tatizo wakuu??
Wakuu! Habari zenu??
Mimi mwenzenu hapa nasumbuliwa sana na usingizi baada ya kupata chakula cha mchana.
Tatizo ni nini hasa?
Kuna solution ya hili tatizo wakuu??
Wakuu! Habari zenu??
Mimi mwenzenu hapa nasumbuliwa sana na usingizi baada ya kupata chakula cha mchana.
Tatizo ni nini hasa?
Kuna solution ya hili tatizo wakuu??
Pole sana aisee,mi pia lilikuwa ni tatizo langu ila kuna mtu alinishauri nisinywe kinywaji chochote wakati,au baada ya kula mpaka ipite nusu saa au lisaa,imenisadia kwa kweli ebu jaribu,mi nimeshasahau usingizi wa mchana labda niwe naumwa..
mkuu kahawa ya aina gani? wataalam wanadai kahawa ina madhara makubwa sana kiafya.shushia na kahawa
nami uwa na tatizo ilo siku moja nikamuuliza mtu akanijibu ni shauri ya kula chakula cha moto sana na maji ya baridi sa sijui kuna ukweli ndani yake ama ni fix tuu.
Kahawa kama utakunywa kiasi haina madhara kwa afya yako ila kama utakunywa kwa wingi sio nzuri .mkuu kahawa ya aina gani? wataalam wanadai kahawa ina madhara makubwa sana kiafya.
cc MziziMkavu
asante sana tommie. naanza rasmi dozi kesho.