M Mzee Lupa Member Joined Apr 5, 2012 Posts 59 Reaction score 8 Apr 6, 2012 #1 Habari wanajf wenzangu Mwenzenu ninasinzia sana kazini najitahidi kujzui siwez ...naomba mnisaidie dawa yake ni nn?
Habari wanajf wenzangu Mwenzenu ninasinzia sana kazini najitahidi kujzui siwez ...naomba mnisaidie dawa yake ni nn?
NdasheneMbandu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 940 Reaction score 308 Apr 6, 2012 #2 Mzee Lupa said: Habari wanajf wenzangu Mwenzenu ninasinzia sana kazini najitahidi kujzui siwez ...naomba mnisaidie dawa yake ni nn? Click to expand... Acha pombe na usiku wahi kulala upate muda mzuri wa kumpumzika. Ukiona hali inaendelea ujue una ugonjwa wa sleeping sickness unaoambukizwa na mbung'o.
Mzee Lupa said: Habari wanajf wenzangu Mwenzenu ninasinzia sana kazini najitahidi kujzui siwez ...naomba mnisaidie dawa yake ni nn? Click to expand... Acha pombe na usiku wahi kulala upate muda mzuri wa kumpumzika. Ukiona hali inaendelea ujue una ugonjwa wa sleeping sickness unaoambukizwa na mbung'o.
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,603 Reaction score 4,119 Apr 6, 2012 #3 lala mapema,usije ukakosa ajira