Usingizi kazini

Usingizi kazini

Mzee Lupa

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
59
Reaction score
8
Habari wanajf wenzangu
Mwenzenu ninasinzia sana kazini najitahidi kujzui siwez ...naomba mnisaidie dawa yake ni nn?
 
Habari wanajf wenzangu
Mwenzenu ninasinzia sana kazini najitahidi kujzui siwez ...naomba mnisaidie dawa yake ni nn?

Acha pombe na usiku wahi kulala upate muda mzuri wa kumpumzika. Ukiona hali inaendelea ujue una ugonjwa wa sleeping sickness unaoambukizwa na mbung'o.
 
Back
Top Bottom