Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kipaji ambacho wengine hawana! Yani akili yako iko vizuri haiendekezi stress ila kama ni self driving hilo ni tatizoHabari wanajf
Nina tatizo la kulala kwenye gari hata kama ni mwendo wa kilomita mbili. Sasa sijajua ni tatizo la kiafya au la. Na kulala huwa nalala masaa nane kwa siku.
Naomba mnisaidie
Mchochezi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23]M najua dawa kwa wale wanaopatwa na ucngz kwe ndege km bomba ya dia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mmbeya city![]()
Mwenzio huyo
Usingizi wa mwendo kasi![]()
Mwenzio huyo
Kapanda mwendokasi kutka gerezani kabla ya kufika fire anakoroma[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mmbeya city
[emoji23] [emoji23] [emoji23] raha za brtKapanda mwendokasi kutka gerezani kabla ya kufika fire anakoroma