Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nipo zangu nimegoma kulala nasubiri uteuzi na utenguzi. Mimi nawakiliisha Mawazri wengi waliokata tamaa na waliopoteza focus kwa sababu awajui mteuaji anaambiwa nini na nani.
Nitaendelea kulala mchana na kukesha usiku hadi mkeka wa mawaziri utoke. Endapo utatoka na jina langu likawepo si watasema mimi ndio nimetoa fedha za matusi?
Bora nisitumbuliwe sasa nikagombanishwa na wapiga kura. Ila sasa kwanini nistafute kazi ya kujitegemea nikaacha kuishi kwa mateso hivi? Lakini kazi gani nitafanya na mimi nimesomea kupanda V8? Watoto wangu wataweza kuishi bila kuitwa watoto wa Mheshimiwa?
Ndugu zangu wakisema wanakuja kwa waziri wa zamani haitaniuma? Kweli V8 chungu, mtu anayo yake ila anataka na za wengine apewe yeye.
Hii kazi ya uwaziri itaua watu kwa presha, bora tubadili katiba mawaziri wasitokane na bunge. Maana ukisikia kila mtu anataka kuwa RAIS ndio sasa...............
Mawaziri wanawaza kama nilivyoandika tuwahurumie