Usingizi umekata!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Msaada jamani, hili tatizo huwa linanikumba sana! huwa nalala mapema, lakini nachelewa kupata usingizi nikiupata kama sea hizi umekata haurudi tuna…
 
Hata hivyo huu ni muda wa kuanza kuelekea Kariakoo. Amka
 
tatizo unajipa mawazo mengi ambayo huwezi kuyatatua!! mkabidhi mungu hizo hofu zako na kila kitu kitakua poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…