No Escape JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 6,663 Reaction score 7,785 Mar 27, 2016 #1 Msaada jamani, hili tatizo huwa linanikumba sana! huwa nalala mapema, lakini nachelewa kupata usingizi nikiupata kama sea hizi umekata haurudi tuna…
Msaada jamani, hili tatizo huwa linanikumba sana! huwa nalala mapema, lakini nachelewa kupata usingizi nikiupata kama sea hizi umekata haurudi tuna…
new generation JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 817 Reaction score 1,687 Mar 27, 2016 #2 Unaishi dar? Nadhan joto
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Mar 27, 2016 #3 Unalala peke yako?
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Mar 27, 2016 #4 Hata hivyo huu ni muda wa kuanza kuelekea Kariakoo. Amka
N Nando JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 4,849 Reaction score 2,059 Mar 27, 2016 #6 Mokoyo said: Hata hivyo huu ni muda wa kuanza kuelekea Kariakoo. Amka Click to expand... kweli mkuu kushakucha.
Mokoyo said: Hata hivyo huu ni muda wa kuanza kuelekea Kariakoo. Amka Click to expand... kweli mkuu kushakucha.
kubwa_Lao JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 934 Reaction score 1,185 Mar 27, 2016 #7 tatizo unajipa mawazo mengi ambayo huwezi kuyatatua!! mkabidhi mungu hizo hofu zako na kila kitu kitakua poa
tatizo unajipa mawazo mengi ambayo huwezi kuyatatua!! mkabidhi mungu hizo hofu zako na kila kitu kitakua poa