Usingizi unanisumbua sana Nifanye nini kupunguza

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
nina miaka isiyozidi 40 . nimeoa na nina watoto wawili. nafanya kazi kampuni flan. kazi zangu maranyingi nakuwa nikitumia kompyuta.
nyumban huwa narudi saa 12:30 moaka saa 1:30 nakuwa nipo home kabisa. na mara nyingi saa nne usiku nakuwa nipo kitandani kulala. saa kumi na moja na nusu naamka kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini.

tatizo kubwa nililo nalo ni usingizi hufikia hatua nasizinzia sana hata napokuw anaongea napoteza ntwork. nikiwa nimetulia kidogo tu napitiwa na usingizi. siumwi na sina tatizo lolote kama lile la kuumwa malale ule ugonjwa wa usingizi. nlipima sina.

watu wananishauri ninywe kahawa sana au azam energy lakini sioni kama ni suluhisho zuri maana sipendi kuzoea vinywaj hivyo. je nifanye nini kupunguza tatizo hili.
 
kama upo mjini Dar nenda mitaa ya kariakoo na mkungunikuna duka la dawa kanunuwe dawa moja inaitwa shubiri chukuw ahiyo shubiri wakati wa usiku chukuwa kidogo sana kama punje ya mtama weka ndani ya glasi ya maji funika vizuri asubuhi kunywa hayo maji fanya hivyo kwa siku 3 au siku 5 au siku 7 . utapata choo laini usishangae. Kisha uje unipe majibu yako.
 
nina miaka isiyozidi 40 . nimeoa na nina watoto wawili. nafanya kazi kampuni flan. kazi zangu maranyingi nakuwa nikitumia kompyuta.
nyumban huwa narudi saa 12:30 moaka saa 1:30 nakuwa nipo home kabisa. na mara nyingi saa nne usiku nakuwa nipo kitandani kulala. saa kumi na moja na nusu naamka kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini.

tatizo kubwa nililo nalo ni usingizi hufikia hatua nasizinzia sana hata napokuw anaongea napoteza ntwork. nikiwa nimetulia kidogo tu napitiwa na usingizi. siumwi na sina tatizo lolote kama lile la kuumwa malale ule ugonjwa wa usingizi. nlipima sina.

watu wananishauri ninywe kahawa sana au azam energy lakini sioni kama ni suluhisho zuri maana sipendi kuzoea vinywaj hivyo. je nifanye nini kupunguza tatizo hili.

Hauna tatizo la uzito? I mean uzito wako sio mkubwa sana kiasi cha mida mwingi kiwa lazy na kusinzia sinzia?
 
Uzito huleta usingizi sana, lakini angalia pia kazi zenyewe unazofanya zaweza kuwa hukuchosha na hupati muda wa kupumzika hadi hiyo saa 4. Tafuta muda uwe unapumzika mchana pia
 
Kula vizuri usiku yani vyakula vyepesi usishibe sana kuufanya mwili upate kazi kumeng'enya, shiriki mazoezi kuondoa uchovu wa mara kwa mara, shiriki tendo la ndoa mara kwa mara....
 
Back
Top Bottom