Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
nina miaka isiyozidi 40 . nimeoa na nina watoto wawili. nafanya kazi kampuni flan. kazi zangu maranyingi nakuwa nikitumia kompyuta.
nyumban huwa narudi saa 12:30 moaka saa 1:30 nakuwa nipo home kabisa. na mara nyingi saa nne usiku nakuwa nipo kitandani kulala. saa kumi na moja na nusu naamka kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini.
tatizo kubwa nililo nalo ni usingizi hufikia hatua nasizinzia sana hata napokuw anaongea napoteza ntwork. nikiwa nimetulia kidogo tu napitiwa na usingizi. siumwi na sina tatizo lolote kama lile la kuumwa malale ule ugonjwa wa usingizi. nlipima sina.
watu wananishauri ninywe kahawa sana au azam energy lakini sioni kama ni suluhisho zuri maana sipendi kuzoea vinywaj hivyo. je nifanye nini kupunguza tatizo hili.