Amekutana na single mom mwenye C-section,k bado inavuta Kwa ndani.🤣 Dunia hii mapenz hakuna.....upendo upo mwanzon tu baada ya hapo 🙄Acha kulialia wewe... Wanaume tunapitia mengi zaidi ya haya
🤣🤣🤣🤣🤣 hyo correlation ya k na c section 🙌🙌🙌Amekutana na single mom mwenye C-section,k bado inavuta Kwa ndani.🤣 Dunia hii mapenz hakuna.....upendo upo mwanzon tu baada ya hapo 🙄
Akukumbuke Kwa lipi sasa mkuu😳 umemjengea nyumba? Au ulikuwa unamlipia Kodi ya nyumba? Karma is vise versa....is real or not real😉
🤣🤣Unaujua mchoz wa mwanamke au unausikia😳😜🚴Kuna vitu vitatu au vinne nimefanya juu yake na vinamtoaga machozi kila akikumbuka.
Umeongea vyema mpenz,ila kama hujapitia maumivu na pigo za Hawa watu I swear utatamani umeze Tena ulichoandika. Cute umewahi ambiwa sijalala na huyo mwanamke mbele ya mwanamke mwenzio na hapo una mimba ya jamaa?Unaweza kumkumbuka mtu kwa upendo wake wa kweli
Upo wakati baada ya kupitia heart breaks za kutosha unajitathimini mahusiano uliyopitia na kukumbuka yule mmoja ambaye deep down unajua alikupenda kweli...ndio kukumbuka kwenyewe huko
Sio lazima iwe kodi ama kujengea nyumba
Huyo bado maisha hayajamnyoosha si unaona bado hana adabu sawa sawa.Wewe ni single mother imetokea nimekupenda.
Nakuta mwanao wa kiume hana nidhamu na hajalelewa kiume amelegea na mideko mingi...nakusaidia kumlea kwa kukupa ushauri...unaniambia siwezi kujua mtoto analelewaje.
Haya unaniambia nikope pesa ili ufanye biashara uongeze mtaji nakwambia subiri mwaka wa bajeti uanze...unasema sijakupa tyamani ndio maana sioni sababu ya kukusaidia.
Unaamua kuninunia na kuniambia nijitathmini kama nakuhitaji nifanye mambo hayo ili uamini.
Umeamua kuniadhibu kisa nimekupenda? Sawa, namimi natafuta njia mbadala ila utaja kumbuka.
Hahaha nimecheka huku nahuzunika kwa hii comment yako...pole sana to yeyeUmeongea vyema mpenz,ila kama hujapitia maumivu na pigo za Hawa watu I swear utatamani umeze Tena ulichoandika.Cute umewahi ambiwa sijalala na huyo mwanamke mbele ya mwanamke mwenzio na hapo una mimba ya jamaa? Aisee,hujapitishwa kwenye moto wewe.Sina kitu Cha kumkumbuka mwanaume hata ajinyonge huo ni ujinga wake kuendekeza mapenz.Sikuhiz Kuna ngono na siyo mapenz,kama umebahatika hongera,keep it up cute😉
Hongera cute,njia uliyoandikiwa ni salama🤝🤜Hahaha nimecheka huku nahuzunika kwa hii comment yako...pole sana to yeye
Nimeelewa hoja yako kulingana na uliyopitia
Binafsi hadi sasa namshukuru Mungu wanaume bado hawajanifanyia jambo baya kiasi cha kuwa na chuki nao ya kudumu
Wewe ulitaka aseme amelala na wewe mbele ya mwanamke mwenzako ili iweje?! Wewe uliye lala nae si unajua kuwa umelala nae?! Huyo mwingine inamhusu nini na kwann unalazimisha kuongelea mambo personal mbele ya mtu mwingine.Umeongea vyema mpenz,ila kama hujapitia maumivu na pigo za Hawa watu I swear utatamani umeze Tena ulichoandika.Cute umewahi ambiwa sijalala na huyo mwanamke mbele ya mwanamke mwenzio na hapo una mimba ya jamaa? Aisee,hujapitishwa kwenye moto wewe.Sina kitu Cha kumkumbuka mwanaume hata ajinyonge huo ni ujinga wake kuendekeza mapenz.Sikuhiz Kuna ngono na siyo mapenz,kama umebahatika hongera,keep it up cute[emoji6]