Usiniadhibu kwa kukupenda

Usiniadhibu kwa kukupenda

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
837
Reaction score
967
Wewe ni single mother imetokea nimekupenda.

Nakuta mwanao wa kiume hana nidhamu na hajalelewa kiume amelegea na mideko mingi, nakusaidia kumlea kwa kukupa ushauri. Unaniambia siwezi kujua mtoto analelewaje.

Haya unaniambia nikope pesa ili ufanye biashara uongeze mtaji nakwambia subiri mwaka wa bajeti uanze. Unasema sijakupa thamani ndio maana sioni sababu ya kukusaidia.

Unaamua kuninunia na kuniambia nijitathmini kama nakuhitaji nifanye mambo hayo ili uamini. Umeamua kuniadhibu kisa nimekupenda? Sawa, namimi natafuta njia mbadala ila utaja kumbuka.
 
Akukumbuke Kwa lipi sasa mkuu😳 umemjengea nyumba? Au ulikuwa unamlipia Kodi ya nyumba? Karma is vise versa....is real or not real😉

Unaweza kumkumbuka mtu kwa upendo wake wa kweli

Upo wakati baada ya kupitia heart breaks za kutosha unajitathimini mahusiano uliyopitia na kukumbuka yule mmoja ambaye deep down unajua alikupenda kweli...ndio kukumbuka kwenyewe huko

Sio lazima iwe kodi ama kujengea nyumba
 
Unaweza kumkumbuka mtu kwa upendo wake wa kweli

Upo wakati baada ya kupitia heart breaks za kutosha unajitathimini mahusiano uliyopitia na kukumbuka yule mmoja ambaye deep down unajua alikupenda kweli...ndio kukumbuka kwenyewe huko

Sio lazima iwe kodi ama kujengea nyumba
Umeongea vyema mpenz,ila kama hujapitia maumivu na pigo za Hawa watu I swear utatamani umeze Tena ulichoandika. Cute umewahi ambiwa sijalala na huyo mwanamke mbele ya mwanamke mwenzio na hapo una mimba ya jamaa?

Aisee, hujapitishwa kwenye moto wewe.Sina kitu Cha kumkumbuka mwanaume hata ajinyonge huo ni ujinga wake kuendekeza mapenz.Sikuhiz Kuna ngono na siyo mapenz, kama umebahatika hongera,keep it up cute😉
 
Wewe ni single mother imetokea nimekupenda.
Nakuta mwanao wa kiume hana nidhamu na hajalelewa kiume amelegea na mideko mingi...nakusaidia kumlea kwa kukupa ushauri...unaniambia siwezi kujua mtoto analelewaje.
Haya unaniambia nikope pesa ili ufanye biashara uongeze mtaji nakwambia subiri mwaka wa bajeti uanze...unasema sijakupa tyamani ndio maana sioni sababu ya kukusaidia.

Unaamua kuninunia na kuniambia nijitathmini kama nakuhitaji nifanye mambo hayo ili uamini.

Umeamua kuniadhibu kisa nimekupenda? Sawa, namimi natafuta njia mbadala ila utaja kumbuka.
Huyo bado maisha hayajamnyoosha si unaona bado hana adabu sawa sawa.

Achana nae mwache aendelee kuitafuta dunia. Apigwe mimba ya pili na ya tatu halafu akae benchi ndipo atajua dunia hadaa walimwengu shujaa.
 
Umeongea vyema mpenz,ila kama hujapitia maumivu na pigo za Hawa watu I swear utatamani umeze Tena ulichoandika.Cute umewahi ambiwa sijalala na huyo mwanamke mbele ya mwanamke mwenzio na hapo una mimba ya jamaa? Aisee,hujapitishwa kwenye moto wewe.Sina kitu Cha kumkumbuka mwanaume hata ajinyonge huo ni ujinga wake kuendekeza mapenz.Sikuhiz Kuna ngono na siyo mapenz,kama umebahatika hongera,keep it up cute😉
Hahaha nimecheka huku nahuzunika kwa hii comment yako...pole sana to yeye

Nimeelewa hoja yako kulingana na uliyopitia
Binafsi hadi sasa namshukuru Mungu wanaume bado hawajanifanyia jambo baya kiasi cha kuwa na chuki nao ya kudumu
 
Hahaha nimecheka huku nahuzunika kwa hii comment yako...pole sana to yeye

Nimeelewa hoja yako kulingana na uliyopitia
Binafsi hadi sasa namshukuru Mungu wanaume bado hawajanifanyia jambo baya kiasi cha kuwa na chuki nao ya kudumu
Hongera cute,njia uliyoandikiwa ni salama🤝🤜
 
Umeongea vyema mpenz,ila kama hujapitia maumivu na pigo za Hawa watu I swear utatamani umeze Tena ulichoandika.Cute umewahi ambiwa sijalala na huyo mwanamke mbele ya mwanamke mwenzio na hapo una mimba ya jamaa? Aisee,hujapitishwa kwenye moto wewe.Sina kitu Cha kumkumbuka mwanaume hata ajinyonge huo ni ujinga wake kuendekeza mapenz.Sikuhiz Kuna ngono na siyo mapenz,kama umebahatika hongera,keep it up cute[emoji6]
Wewe ulitaka aseme amelala na wewe mbele ya mwanamke mwenzako ili iweje?! Wewe uliye lala nae si unajua kuwa umelala nae?! Huyo mwingine inamhusu nini na kwann unalazimisha kuongelea mambo personal mbele ya mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom