chloe.obrain
JF-Expert Member
- Feb 25, 2010
- 391
- 21
najua utakuwa unaona kama nakubore au nakusumbua sana but naomba tu unielewe kwamba ni roho wa bwana amenena ndani yangu kwamba nikushawishi uachane na habari za kaunta(valuu), uachane na habari za nyumba ndogo make naona umepewa na cheo cha "Mshauri mkuu wa hicho chama" Fidel80 naomba uwe flexible na ukubaliane na mabadiliko haya ikibidi hata hiyo location yako ubadilishe, yaani utoke huko UVUNGUNI uhamie KITANDANI labda au SITTING ROOM.😛ray:
ni rafikiyo kipendhi Chloe!!!!
(sorry kwa niliyemkwaza kwa hii post)

matatizo mengine Chloe unajitakia mwenyewe, unaona sasa umechokoza wadau!!!!!!!!!mi sikusaidii kabisaaaaaa
:fencing::argue::gossip::bathbaby::violin::lalala:Eeeh....
:fencing::argue::gossip::bathbaby::violin::lalala:
Chloe kwanini umeamua kunikwaza asubuhi na mapema namna hii?
Unajisumbua bure, huyo jamaa habadiliki!!!!najua utakuwa unaona kama nakubore au nakusumbua sana but naomba tu unielewe kwamba ni roho wa bwana amenena ndani yangu kwamba nikushawishi uachane na habari za kaunta(valuu), uachane na habari za nyumba ndogo make naona umepewa na cheo cha "Mshauri mkuu wa hicho chama" Fidel80 naomba uwe flexible na ukubaliane na mabadiliko haya ikibidi hata hiyo location yako ubadilishe, yaani utoke huko UVUNGUNI uhamie KITANDANI labda au SITTING ROOM.😛ray:
ni rafikiyo kipendhi Chloe!!!!
(sorry kwa niliyemkwaza kwa hii post)
matatizo mengine Chloe unajitakia mwenyewe, unaona sasa umechokoza wadau!!!!!!!!!mi sikusaidii kabisaaaaaa
wapi fidel wajamen!i wanna hear frm him mayb atakubali kuchange direction!!!!!
lol naona aspirin anataka kuruka na m2!!!!!!
Una namba zake za simu? wapi pope Kaizer:A S 100:.....hapa ndipo huwa umuhimu wake unakuwepo>>>> Katibu hebu nukuu hii thread kwa matumizi ya baadae...:A S 8::A S 8::A S 8::A S 8:
nikushawishi uachane na habari za kaunta(valuu), uachane na habari za nyumba ndogo make naona umepewa
..nikushawishi uachane na habari za kaunta(valuu), uachane na habari za nyumba ndogo(sorry kwa niliyemkwaza kwa hii post)
:confused2::confused2: NGOJA NIKU :A S 100: manake naona maneno hutanielewa vizuri. Hii thread ni tishio kwa chama!:confused2::confused2:Kha! vingine naweza kubadili lakini hapo juu mmmh :confused2:
Nasubili maombi ya Rev. Masanilo
Nasubili ushauri wa Asprin je upo tayari nipotee kundini?
Nasubili baba wa infidelity papaa Teamo
Namsubili mtaalamu mwenyewe Kaizer
Na wengineo jamani huu ushauri kwa kweli mgumu.
ROFL! kibali cha kutotumia mipira ulikipatia wapi? Hicho kwa mujibu wa kanuni lazima kisainiwe na viongozi waandamizi:becky::becky:FIDEL alikuwa anafuatilia dhamana ya YOYO aliyekamatwa kule machimboni akizibua njia.
Ila nashukuru kuwa sina mshauri humu maana yule wa mwisho mliyemtuma aje kunishauri, hivi sasa analea mimba yangu