Usinichoke Fidel80

Usinichoke Fidel80

Mbado nipo nipo kwanza...
Ningekuwa tayari si ningetangaza hapa
Wakati naoa nataka niwe na watoto 6 wa nje bado hawajatimia idadi

Wameshafika wangapi? na wa ndani unapanga wawe wangapi? au unamalizia kila kitu huko nje then wa ndani atakuwa wa kujirusha naye tu? Kwa raha zenu!
Looks like a good idea!
 
Amen! Karibu na wewe kufuatilia maombi ya TB Joshua....you will get something in your life...

Huyo mchungaji ni he/she? halafu nini kinabadilishwa kuwa damu ya masiha?:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Hapa kuna nini tena....
Kunahitajika katibu hapa??
 
ROFL! kibali cha kutotumia mipira ulikipatia wapi? Hicho kwa mujibu wa kanuni lazima kisainiwe na viongozi waandamizi:becky::becky:

Hatujawahi kusaini kibali cha aina hiyo...:confused2:
 
najua utakuwa unaona kama nakubore au nakusumbua sana but naomba tu unielewe kwamba ni roho wa bwana amenena ndani yangu kwamba nikushawishi uachane na habari za kaunta(valuu), uachane na habari za nyumba ndogo make naona umepewa na cheo cha "Mshauri mkuu wa hicho chama" Fidel80 naomba uwe flexible na ukubaliane na mabadiliko haya ikibidi hata hiyo location yako ubadilishe, yaani utoke huko UVUNGUNI uhamie KITANDANI labda au SITTING ROOM.😛ray:
ni rafikiyo kipendhi Chloe!!!!
(sorry kwa niliyemkwaza kwa hii post)

mtoe huko aliko umpeleke mwangani,mtoe kaunta mpeleke madhaahuni,kisha uendelee na sipirin na homie wake kaizer maliza na teamo
na mchungaji Masa kisha funga kazi na wale wadhambi wenzao hapo utakua umesambaratisha chama chao for good!
ila kuwabadili hawa inabidi kwenda kusalia JANGWANI maana mioyo yao ishakua sugu kwa zile dhambi 2 wazipendazo.
 
Safi sana wakumbushe hao maana wamezidi watoto wadogo wanalewa hovyo mi huwa nashangaa nikifika rose garden,vijana wadogo na visichana, wezee na visichana basi nikupombeka kwa kwenda mbele, na hii ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi,
 
mtoe huko aliko umpeleke mwangani,mtoe kaunta mpeleke madhabahuni,kisha uendelee na Asipirin na homie wake kaizer maliza na teamo
na mchungaji Masa kisha funga kazi na wale wadhambi wenzao hapo utakua umesambaratisha chama chao for good!
ila kuwabadili hawa inabidi kwenda kusalia JANGWANI maana mioyo yao ishakua sugu kwa zile dhambi 2 wazipendazo.
hao watatu hapo juu itabidi nifunge tena kwa maombi ili roho wa bwana aniongoze.
hapo kwa mchungaji Duh!!!:confused2:
 
mtoe huko aliko umpeleke mwangani,mtoe kaunta mpeleke madhaahuni,kisha uendelee na sipirin na homie wake kaizer maliza na teamo
na mchungaji Masa kisha funga kazi na wale wadhambi wenzao hapo utakua umesambaratisha chama chao for good!
ila kuwabadili hawa inabidi kwenda kusalia JANGWANI maana mioyo yao ishakua sugu kwa zile dhambi 2 wazipendazo.
Thats name calling..... first warning!

hao watatu hapo juu itabidi nifunge tena kwa maombi ili roho wa bwana aniongoze.
hapo kwa mchungaji Duh!!!:confused2:
Ukijiunga na ISC huna haja ya kufunga na kuomba. Ushauri wako utazingatiwa.....Nikuletee fomu?
 
najua utakuwa unaona kama nakubore au nakusumbua sana but naomba tu unielewe kwamba ni roho wa bwana amenena ndani yangu kwamba nikushawishi uachane na habari za kaunta(valuu), uachane na habari za nyumba ndogo make naona umepewa na cheo cha "Mshauri mkuu wa hicho chama" Fidel80 naomba uwe flexible na ukubaliane na mabadiliko haya ikibidi hata hiyo location yako ubadilishe, yaani utoke huko UVUNGUNI uhamie KITANDANI labda au SITTING ROOM.😛ray:
ni rafikiyo kipendhi Chloe!!!!
(sorry kwa niliyemkwaza kwa hii post)

dah........:confused2:

Fidel80 useme tena huna bahati hebu 'panda kitandani'...mwenzio bado "Ninapanda"
 
Back
Top Bottom