Usinichoke Fidel80

Wanasema vyama pinzani havidumu mifarakano ya kugombania madaraka haishi bora ukae tu hapa hapa uendelee kula pensheni yako
 
Dah hadi vidole vya mguuni vimesisimuka
 
hivi Fidel80 ulishaoa?
 
i hope wadau kutoka chama pinzani watanisaidia, ila nawewe ukiona nimezidiwa unisaidie bana:smile-big::smile-big:

Aah hilo toa shaka kabisa...
Yaani sisi tupo na wewe all the way!!
Nice move...
 
:confused2::confused2: NGOJA NIKU :A S 100: manake naona maneno hutanielewa vizuri. Hii thread ni tishio kwa chama!:confused2::confused2:

Hahahah....
Na bado tunaandaa maangamizi ya kutosha tu dhini yenu!
 
Aah hilo toa shaka kabisa...
Yaani sisi tupo na wewe all the way!!
Nice move...

Unajua mimi na wewe ni kama mfagio na vumbi kwahiyo sikuachii till the last drop:becky::becky::becky::becky:
 
Sasa itabidi niokoke kwa muda
 
ROFL! kibali cha kutotumia mipira ulikipatia wapi? Hicho kwa mujibu wa kanuni lazima kisainiwe na viongozi waandamizi:becky::becky:
Ah nilisahau kuwa kuna mipira ya bedtenis, lakini this time nakuhakikishia kosa hilo sitalirudia tena. nitahakikisha kuwa mshauri utakayemtuma hayupo kwenye danger days ili kuondoa ushahidi.
Ntajitahidi kutumia mpira kama wafanyavyo washauri wetu yaani kuivaa kidoleni na kudoou
 
Sasa itabidi niokoke kwa muda

Amen!! tuone na matendo pia...fuatilia maombi ya TB Joshua from Nigeria lengo lako la kuokoka litazaa matunda...na valuu ukisikia hata harufu yake utatapika mpaka mautumbo...all the best...
 
Amen!! tuone na matendo pia...fuatilia maombi ya TB Joshua from Nigeria lengo lako la kuokoka litazaa matunda...na valuu ukisikia hata harufu yake utatapika mpaka mautumbo...all the best...

Avatar yako na maneno yako haviendani unafaa kuwa ISC
 
Amen!! tuone na matendo pia...fuatilia maombi ya TB Joshua from Nigeria lengo lako la kuokoka litazaa matunda...na valuu ukisikia hata harufu yake utatapika mpaka mautumbo...all the best...

Ushauri mzuri kama ilivyo avatar yako...
 
Mbado nipo nipo kwanza...
Ningekuwa tayari si ningetangaza hapa
Wakati naoa nataka niwe na watoto 6 wa nje bado hawajatimia idadi

wamefika wangapi mpaka ss?
 
Avatar yako na maneno yako haviendani unafaa kuwa ISC

Kwa nini mkuu! unajua hata kwenye bible imeandikwa wapeni masikini mvinyo kidogo wasahau shida zao...kwa hiyo kuiacha hii kwangu inakua ngumu...atleast hata toti mbili tatu ndio usingizi natapa...ila Fidel80 yeye kwa sababu naona mambo yamemzidia anataka apumzike kidogo aangalie mambo yatamwendeaje...wa sababu amezidiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…