Usinichoke Fidel80

Mbado nipo nipo kwanza...
Ningekuwa tayari si ningetangaza hapa
Wakati naoa nataka niwe na watoto 6 wa nje bado hawajatimia idadi

Wameshafika wangapi? na wa ndani unapanga wawe wangapi? au unamalizia kila kitu huko nje then wa ndani atakuwa wa kujirusha naye tu? Kwa raha zenu!
Looks like a good idea!
 
Amen! Karibu na wewe kufuatilia maombi ya TB Joshua....you will get something in your life...

Huyo mchungaji ni he/she? halafu nini kinabadilishwa kuwa damu ya masiha?:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Hapa kuna nini tena....
Kunahitajika katibu hapa??
 
ROFL! kibali cha kutotumia mipira ulikipatia wapi? Hicho kwa mujibu wa kanuni lazima kisainiwe na viongozi waandamizi:becky::becky:

Hatujawahi kusaini kibali cha aina hiyo...:confused2:
 

mtoe huko aliko umpeleke mwangani,mtoe kaunta mpeleke madhaahuni,kisha uendelee na sipirin na homie wake kaizer maliza na teamo
na mchungaji Masa kisha funga kazi na wale wadhambi wenzao hapo utakua umesambaratisha chama chao for good!
ila kuwabadili hawa inabidi kwenda kusalia JANGWANI maana mioyo yao ishakua sugu kwa zile dhambi 2 wazipendazo.
 
Safi sana wakumbushe hao maana wamezidi watoto wadogo wanalewa hovyo mi huwa nashangaa nikifika rose garden,vijana wadogo na visichana, wezee na visichana basi nikupombeka kwa kwenda mbele, na hii ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi,
 
hao watatu hapo juu itabidi nifunge tena kwa maombi ili roho wa bwana aniongoze.
hapo kwa mchungaji Duh!!!:confused2:
 
Thats name calling..... first warning!

hao watatu hapo juu itabidi nifunge tena kwa maombi ili roho wa bwana aniongoze.
hapo kwa mchungaji Duh!!!:confused2:
Ukijiunga na ISC huna haja ya kufunga na kuomba. Ushauri wako utazingatiwa.....Nikuletee fomu?
 

dah........:confused2:

Fidel80 useme tena huna bahati hebu 'panda kitandani'...mwenzio bado "Ninapanda"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…