Usiniombe pesa hadi mfungo uishe both team score

Usiniombe pesa hadi mfungo uishe both team score

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Mabinti wa wa tz bwana ikifika hiki kipindi wote wanavaa majuba wanajifungia ndani wanakwambia tumefunga tutakutana eid au pasaka sasa nikajiuliza mienzi mingine ndio ya kuzini ila huu ndio marufuku?

Basi bwnaa mchepuko umefunga ila hela ya huduma kila siku unataka utumiwe nikamwambia huu mwezi pia ni dhambi kula hela ya hawara subiri uishe nitaendelea kukuhudumiwa [emoji23] nimeblockiwa sasa kosa langu lipi
 
Kosa lako ni kusema ukweli, sasa mbususu hadi mfungo uishe ila pesa haramu ya hawara sio shida, hizi imani kuna wakati zina walakini sana.
 
Kosa lako ni kusema ukweli, sasa mbususu hadi mfungo uishe ila pesa haramu ya hawara sio shida, hizi imani kuna wakati zina walakini sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dakika za jioni atakuja humu akitaka mwanaume mwenye ajira,mcha Mungu,awe tayari kumhudumia.
 
Hupaswi mhudumia mwanamke ambaye hujazaa naye au sio mchumba wako.
 
Back
Top Bottom