ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Sijui mkuu! Japo nadhani wakristo hawana mambo mengi, msimu hu ila nadhani show bado zipošNa hawa wa kwaresma hawaweki hivi vikwazo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui mkuu! Japo nadhani wakristo hawana mambo mengi, msimu hu ila nadhani show bado zipošNa hawa wa kwaresma hawaweki hivi vikwazo?
Hahaha hii kweli ni both team to scoreMabinti wa wa tz bwana ikifika hiki kipindi wote wanavaa majuba wanajifungia ndani wanakwambia tumefunga tutakutana eid au pasaka sasa nikajiuliza mienzi mingine ndio ya kuzini ila huu ndio marufuku?
Basi bwnaa mchepuko umefunga ila hela ya huduma kila siku unataka utumiwe nikamwambia huu mwezi pia ni dhambi kula hela ya hawara subiri uishe nitaendelea kukuhudumiwa [emoji23] nimeblockiwa sasa kosa langu lipi