ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
1. Zaidi ya asilimia 70 ya watumishi wanachukua salary advance siku tatu tu baada ya mshahara kutoka
2. Zaidi ya 50 wanaishi kwa mshiko fasta kutoka bank
3. Katika simu 10 unazopigiwa kila siku basi simu 4 ni za watu wanaokudai wanaulizia hela yao.
4. Zinapoingia meseji za mtandao, POLISI, TCRA, BUSTISHA, BET Huwa unasonya na kuwatukana kimyakimya.
6. Ile hali ya kuwatetea wapalestina na kuwaonea huruma kwa sasa imetoweka unajiona kana kwamba na wewe unateseka tu liwalo na liwe.
7. Unabania bundle vibaya mno hata kuangalia CHEKA tu hutski unaona kama zinakula bundle hata tik tok huingii sana
8. Umeacha pombe na kubet kumbe tatizo ni hujashika tu hela.
9.