#Usiniwekestatus

#Usiniwekestatus

mult_talented_p

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
103
Reaction score
120
IMG_20180412_141014_802.jpg


Katika ulimwengu ambao kinachofanyika hapa, kinaonekana hadi nje ya nchi, nimeanzisha kampeni ya kuwaokoa watu na uhalifu wa kimtandao. Kwa muda sasa nimekuwa nikifanya utafiti wa maswala haya ya kimtandao nikitafuta kujua kuwa ni kwa jinsi gani yanavyoweza kuathiri maisha ya watumiaji wake. Maswala haya ya kimtandao hususani kwa upande wa siri yaani privacy yamekuwa kwenye midahalo sehemu mbali mbali Duniani. Sikosoi kuweka picha au video zinazoonesha maisha yetu binafsi, lakini nakosoa namna gani jinsi ambavyo hatuna mamlaka au kwa kingereza, control na taarifa tulizoweka mitandaoni. Hivyo basi, nimeona ni vyema, kwa usalama, kuhamasisha watu kuwa makini na taarifa wanazoamua kuachia mtandaoni kwa vile, hatujui ni nani anayeona. Neno 'watu waone' ni kubwa sana. Ni vema watu hao wawe ndugu na marafiki tu!
[HASHTAG]#Usiniwekestatus[/HASHTAG]
 
Nikiweka picha ndio nimeweka taarifa zangu. Na huko duniani wanajuaje kama mm ndio mmiliki wa picha. So hii AVATAR yangu pia ushaichukua?
 
Back
Top Bottom