Ungeelezea huo mgogoro wa ardhi chanzo chake ni nani?WATU SIJUI tuna SHIDA ipi, unaambiwa usinunue ardhi HAPO NYUMBA zaidi ya mia Saba zinataka kubomolewa kesi IPO mahakamani, MTU UNAENDA TENA kuulizia kiwanja SAA ZINGINE MATATIZO yanayo toke NYIE NDO CHANZO mwajitakia wenyewe.
Full stop
Kwishaaaa
Utapeli na multiple sellingUngeelezea huo mgogoro wa ardhi chanzo chake ni nani?
Mkuu hio kesi ni NGUMU SABABU madiwani WAKO UPANDE WA pili SIO WA wananchi WAO wanataka bomoabomoa ipite NYUMBA mia Saba ni nyingi SANA Ina maana hawakuliano Hilo mwanzo. Inshort raia hawana mtetezi UPANDE WA serikaliHii tahadhari Kila Mtu na aisikie. Mimi ni muathirika pia na Cha ajabu mvamizi na tapeli wale walinifungulia mashtaka DLHT nikampiga, akapanda High Court nikampiga, Sasa kapanda Court of Appeal, na Nina Imani nitampiga Ili apande kwa Mungu kabisa.!
Mkuu MGOGORO ni wakijinga SANA Kuna muwekezaji SIJUI NDO kaweka dau ETI Hilo eneo ni la kuchimbia mchanga, YANI uhamishe NYUMBA zaidi ya mia saba MTU KISA una chimba mchanga. NAHISI Kuna KITU kingine LABDA Kiko nyuma wanaficha TU na ni kigogo mkubwa TU.Ungeelezea huo mgogoro wa ardhi chanzo chake ni nani?
Atakua sio Rost Tamu Aziz huyo kweli? Maana ndio michezo yake hioMkuu MGOGORO ni wakijinga SANA Kuna muwekezaji SIJUI NDO kaweka dau ETI Hilo eneo ni la kuchimbia mchanga, YANI uhamishe NYUMBA zaidi ya mia saba MTU KISA una chimba mchanga. NAHISI Kuna KITU kingine LABDA Kiko nyuma wanaficha TU na ni kigogo mkubwa TU.
Kwishaaaaaa
DAH hii nchi MPAKA inakatisha tamaaa, YANI kilicho baki nikuanza kuishi TU KWENYE NYUMBA za kupanga kama wahindi. HAYA mambo yasikie TU kubomolewa daahAtakua sio Rost Tamu Aziz huyo kweli? Maana ndio michezo yake hio
Rost Tamu Aziz achunguzweHAPO kigogo hakosekani MANA HADI mkuu WA wilaya KADAI Hilo eneo Lina shughuli ya uchimbaji mchanga
Full stop
Kwishaaaaa
Duuuuuuu alafu wewe unaona mbaliAtakua sio Rost Tamu Aziz huyo kweli? Maana ndio michezo yake hio