desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,593
- 5,848
Subaru Forester ya 2006 unapata hata ka M15 iko fresh ila ujipange kwa weseForester naongeza bei gani?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subaru Forester ya 2006 unapata hata ka M15 iko fresh ila ujipange kwa weseForester naongeza bei gani?
ZinapatikanaVipi spea parts zinapatikana kwa urahisi na kwa bei poa?
Toyota CAMI aero sport au Daihatsu terios zitakufaa zote cc 1300Habari naomba ushauri wa gari
Budget yangu maximum million 12,
Nataka kuagiza gari
Sifa nnazotaka
1. Iwe ni SUV
2. Engine CC isizidi 1800, kuzingatia matumizi ya mafuta
3. Iwe common Brands ili hata utafutaji wa spare parts usiwe wa tabu
4. Durability nzuri
5. Automatic transmission
6. 2 wheel drive
7. 5 doors
Naomba kujua options ambazo ninaweza kupata kutoka kwenu
Usinunue gari kwa kufuata mkumbo. Si kwa sababu fulani analo au watu wengi wanalo, au kila mtu ananunua gari hilo then na wewe ndio uamue kununua gari hilo.
Inagharimu sana muda meingine. Kuna watu wameyachukia sana magari fulani kwa sababu tu alilipenda baada ya kumuona fulani anaendesha naye akaamua kuingia kichwakichwa na kulinunua.
Sikandii aina fulani ya magari, Ila ninachoweza kusema ni vema kununua gari kulingana na mahitaji yako. Au kigezo cha kwanza kabla mtu hajanunua gari ni vizuri akaweka vipaumbele vyake mbele, hii inaweza kumsaidia sana kupata kile anachokitaka kwa usahihi.
Gari si tu kile unachokiona kinatembea barabarani, Je unahitaji nini? Matumizi mazuri ya mafuta?, Kuchanganya haraka?, Speed kubwa? Space kubwa ya kubeba watu/mizigo?, Unafuu wa gharama za vipuri?, Durability? na mengine mengi.
Pia gari zinakuwa na Variants, ni kama tu ilivyo kwa bidhaa zingine, Unaweza kununua simu ina Storage ya 32GB, 64GB, 128GB, 256GB, n.k. Hata gari pia zipo kwa mtindo huo japo Variant za gari fulani mara nyingi huwa zinakuwa kwenye engine iliyofungwa.
Kwa mfano tuchukue Variant mbili za Nissan Fuga toleo la pili, wana gari ina engine ya VQ35VHR ambayo ina Cc3500 na nyingine ina VQ37HR ambayo ina Cc3700 (Zote ni engine za petrol). Hiyo ya Cc3500 ni hybrid na inaenda mpaka 19Km kwa lita ukiwa highway wakati hiyo ya Cc3700 inaenda mpaka 9Km tu kwa lita. Utofauti ni mkubwa sana. Japo kwa nje gari hazitofautiani maumbo.
Mfano mwingine ni gari aina ya Toyota RAV 4 toleo la tatu(Miss Tz). Hii gari imetoka na variants 8 zikiwa na engine 8 tofauti ambazo Cc zake zinaanzia 2000 mpaka 3500. Yaani kuna rav 4 ina engine ya 2GR ambayo imefungwa kwenye Toyota Crown Athlete. Zipo zingine zina 2AZ-FE kama Vanguard na nyingi zilizozoeleka zina 1AZ-FE au 1AZ-FSE.
Hivyo ni vema kujua ni nini unataka, kabla ya kufanya maamuzi.
*************##############************
KAMA UNAHITAJI GATI USED IWE MKONONI AU YARD TUWASILIANE, TUKUTAFUTIE GARI ZURI MAANA TUNAFANYA DIAGNOSIS NA KULITEST KAMA LIKO SAWA.
*************############***************
PIA KWA WENYE MATATIZO MBALIMBALI YA MAGARI, TUNAFANYA:
1. FULL SYSTEMS DIAGNOSIS (GHARAMA NI TSH. 40,000/= TU KWA GARI HIZI, TOYOTA, NISSAN, SUZUKI, SUBARU, JEEP NA FORD).
2. ENGINE DIAGNOSIS KWA BRAND YOYOTE YA GARI. GHARAMA NI TSH. 20,000/= TU.
3. KUREKEBISHA MATATIZO KAMA GARI KUKOSA NGUVU, ENGINE KUMISI, KUWASHA TAA YA CHECK ENGINE, MATATIZO YA AUTOMATIC GEARBOX N.K.
SIMU: 0621 221 606
Whatsapp: wa.me/255621221606
Nipo Magomeni Mwembechai Dar.

Forester SG5 2005 unaongeza milioni 2 unaweka chuma barababarani from JapanForester naongeza bei gani?
So ni 14 MForester SG5 2005 unaongeza milioni 2 unaweka chuma barababarani from Japan
Naam mkuu 14mSo ni 14 M
Wanafaidi Nini kwa kufanya kazi bure?Automax Tz wanafanya diagnosis bure kabisa.
Nadhani ifike muda sasa muache kuwapiga wamiliki sawa?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hakunaga cha bure. Hiyo ni Package ya "Welcome Mteja".Wanafaidi Nini kwa kufanya kazi bure?
Hakunaga cha bure. Hiyo ni Package ya "Welcome Mteja".
Unaweza kumRetain mteja kwa kumfanyia Free Diagnosis followed by a Good mechanical Advice from the Diagnosis Report....
Tatizo Wenye izo mashine washazoea kuwapiga wamiliki wajinga wajinga.
So ukiona unachajiwa kufanya Diagnossis basi jua we ni mjinga mjinga wamekuona.
Ukiwa mjanja zaidi na umepita pita shule kidogo unaagiza Diagnosis Machine yako mwenyewe.
Ila hapo ni mpaka uwe unamiliki GARI sasa na sio chombo cha kukutoa Point A to B maana it wont be Worthy!....
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kifupi tuongeze juhudi za kusaka hela.Umeongea vizuri ila mi naona mfuko ana kipato ndio mwamuzi wa kila kitu ase.