Usinunue gari kwa kufuata mkumbo, inagharimu muda mwingine

Toyota CAMI aero sport au Daihatsu terios zitakufaa zote cc 1300
 
Mkuu altezza kwa bei ya showroom TZ inafika shilingi ngapi kwa sasa?
 
Umeongea vizuri ila mi naona mfuko ana kipato ndio mwamuzi wa kila kitu ase.

Hakuna mtu anapenda kuendesha babywalker. Inafikia hatua unakubali kuendesha maisha yako kutokana na mfuko wako ili usijipe stress.

Ukimiliki kigari cha uwezo wako hupati stress kabisa.
 
Bado sijaona gari la kazi na luxury kama la mjapan



πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Wanafaidi Nini kwa kufanya kazi bure?
Hakunaga cha bure. Hiyo ni Package ya "Welcome Mteja".

Unaweza kumRetain mteja kwa kumfanyia Free Diagnosis followed by a Good mechanical Advice from the Diagnosis Report....

Tatizo Wenye izo mashine washazoea kuwapiga wamiliki wajinga wajinga.

So ukiona unachajiwa kufanya Diagnossis basi jua we ni mjinga mjinga wamekuona.

Ukiwa mjanja zaidi na umepita pita shule kidogo unaagiza Diagnosis Machine yako mwenyewe.

Ila hapo ni mpaka uwe unamiliki GARI sasa na sio chombo cha kukutoa Point A to B maana it wont be Worthy!....

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 

For simple problems yes unaweza kutatutua.

Complicated problems kama

System is too lean p0171

System is too rich p0172

Random misfire p0300

p0016 na nyingine nyingi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…