Usinunue iphone 13

Umaskini ni kitu kibaya sana..yaani mtu anaetumia Gadget ya $900 anaonekana tajiri na mpenda anasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

there you said it[emoji1787], Jaman haya ni maisha ya watu kuna wengine wanapenda gadgets kuna mtu ana electronics devices za kila ainaa...kutumia simu nzuri sio dhambi wala sio anasa come on..ni kifaa cha mawasiliano tunaishi mara moja, sasa wewe unaesema huwez kununua simu kubwa sabab hasara unatunza pesa, vipi hizo investment ulizozifanya kutokana na ela ya simu zinaendaje ume invest bitcoin au umenunua share JATU[emoji23]
 
Sijawahi fikiri wala kuwa na hamu ya kumiliki iphone Hata Kidogo Hizi simu hazinifai kabisi Too much Complicated Kitaa tunaziita gate kali

Simu yangu Pendwa Google pixel Goja nijichange nivute 3XL

Sema wewe hauna hela kama simu yako pendwa ni Google pixel kwanini usichukue Google pixel latest maana hiyo 3 ni ya zaman [emoji28]
 
4GB sijawahi kuzijaza

Japo natumia simu yenye 128GB

Simu yangu akikamata wife huwa atajipiga mipicha atajirekodi mi video, mi sina habari nayo
 
Huyo naona anataka weka movie ,, GTA na yale magame ya mission nk

Kwa kawaida hata 256Gb humalizi data hazili nafasi kubwa hivo labda anataka hifadhi movie
 
Pole sana mkuu
 
Huyo naona anataka weka movie ,, GTA na yale magame ya mission nk

Kwa kawaida hata 256Gb humalizi data hazili nafasi kubwa hivo labda anataka hifadhi movie
dunia inakwenda kasi sana ndugu zangu.

miaka 5 tu iliyopita,ukiwa na memorycard ya 2gb unajiona mjanja sana,kwa sasa ili uwe na amani na flash yako,inatakiwa at least iwe 64gb.

256gb,ni nyingi kweli,ila jaribu kurekodi video moja ya tukio muhimu kwa 4k,uone itatoka video kubwa kiasi gani,video ya ya 5min inachukua mpaka 700mb.picha moja inasoma 8mb,unaweza usione umuhimu wake leo,ila miaka 5 mbele,ukaona ulijidhulumu.
 
Uko kama mimi.. nikienda kununua simu mtu akianza kusifia camera huwa namwangalia tu..[emoji3] yan camera kwangu sio issue mana picha zenyewe sipigi. Mtu akiongelea charge atleast namuelewa

Camera natumia nikiwa wasap labda nakula napiga picha chakula natuma chapu tofaut na hapo ni ngumu sana ..au nikisuka amplifier zangu au chchte cha electronics ndo nachukua video
 
😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂
 
Mfano mm picha hata kwa mtu iwe ina 10mb me ninachoangalia kwenye hii simu yangu inaonekanaje nina picha za mb 2.5 ni nzuri za hii simu nikimtumia yoyote bado ni kali na camera ako na 8mp tu
 
Nitanunua kwasababu ya storage tu. Kazi zangu nahitaji storage kubwa na ndio iPhone ya kwanza kuwa na 1TB. Baada ya hapo sitanunua smartphone kwa miaka 10 ijayo labda niibiwe.
Mbona 1TB harddrive zipo tena Kwa Laki 1 mpk 2 tu yaani Uchome mil 4 kisa 1TB
 
Watu hawaelewi hilo.

Simu ni kama portable computer siku hizi, unaweka CV, driving licence, documents zako zote za muhimu. Picha za familia na matukio mengine.
 
Simu ni hobi
Ni kama magari, mwingine ana gari ndogo tu ya milioni mia nane mwingine ya milioni nane
 

ambae ana iman Give away hiyo ya YouTuber Mr whose the boss anatoa iphone 13 nahis 10 zile
 
Sielewi kwanini watumiaji wa iphone wanaonekana "wanajisikia" sana

Kama kigezo cha kuonekana malimbukeni sababu iphone ni GHALI......basi iphone sio simu ghali pekee, wapo akina Samsung Huwawei nk na wana bei ghali sana kwenye flag ship zao

Kwenye maisha kila mtu anavipaumbele vyake........hakuna raha kwenye maisha kama kufanya jambo unalolipenda na kuliamini wewe binafsi, ni raha zaidi kuliko kufanya mambo kwa mujibu wa "fomula"

Sio kila apendacho mwenzako lazima kilete maana kwako au ukitafsiri kwa mujibu wa ulivyo karirishwa maisha yanatakiwa kuwaje

Utakuta mtumiaji wa tekno labda anamtukana kweli mtumiaji wa iphone kwamba anachezea hela wakati amepnga kwa mtogole wakati yeye mwenye na tecno yake kapanga pia kwa mtogole, unabaki ujiuliza kwanini yeye asijenge masaki kwasababu anatumia tekno ya laki?

Jamani tutafuteni hela tushibishe matakwa ya nafsi zetu
Kama wewe unadhani kumiliki iphone ndio kukwamisha maendeleo yako hiyo ni wewe tu ujuaji wako, wenzako wanamiliki na wanapanda daladala kama wewe mwenye itel

Katika maisha yako hata siku moja usitumie umasikini wako kuharamisha matumizi ya vitu vizuri kwa wenzio
Kama wewe huwezi wenzio wana weza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…