Usinunue simu used kabla ya kuangalia haya!

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Kabla ujaamua kununua simu Used tafadhari Kuna mambo Muhimu ya kuzingatia ili kuwa Salama kwa mwaka huu 2026.

Simu inaweza kuwa imependeza, haina scratch na bei yake ni tamu… lakini ukikosea vitu hivi 3, unaweza kujikuta umenunua tatizo badala ya simu! 💀



👀 1. IMEI & LOCK
Hakikisha IMEI zinalingana na simu na simu haina iCloud/FRP Lock.

🔋 2. BATTERY & HISTORY
Usiangalie chaji iliyopo tu—chunguza afya ya betri na kama simu imewahi kufunguliwa au kutengenezwa.

🛠️ 3. TEST KILA KITU
Screen, touch, kamera, spika, microphone, charging, SIM, Wi-Fi, Bluetooth na fingerprint/Face Unlock.



🔥 Dakika 5 za ukaguzi zinaweza kukuokoa na hasara kubwa! 📌 SAVE HII VIDEO kabla hujanunua simu used.

👇 Wewe ukienda kununua simu used, huwa unaangalia kitu gani kwanza? Tuambie kwenye comments! 👇
 
Hujawah kununua simu used wewe
Utaangalia kila kitu, utakuta kiko sawa hakuna hata kasoro wala mchubuko wowote.
Ukifika nyumban tu..... guys.... unaanza kuhurumia pesa yako,utakuta simu yote ni mbovu.
 
Custom ROM, wauza simu achen hii tabia yakuweka hii kitu(device not certified usiomne ukutane nayo
 
Mkuu simu za sharp aquos hazina shida kwa hapa tanzania? Mfano sense 7 au sense 8 hazina changamoto ya.network?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…