Poleboya kweli wewe sasa watu wakale wapi ungeibiwa iphone x si ndo ungemtoa kafara mzazi wako...tulia dawa ikuingie
boya kweli wewe sasa watu wakale wapi ungeibiwa iphone x si ndo ungemtoa kafara mzazi wako...tulia dawa ikuingie
Pole
Ila hiyo zawadi nono bora ukanunua,
Nyingine tu
Ukivipata tupe mrejeshoTatizo sio kununua nyingine, kuna vitu ving nyuma ya pazia, ww ngoja ununue tukukute nayo
Pole sana mkuu ila unanichekesha ulivyo na hasira hahahaTatizo sio kununua nyingine, kuna vitu ving nyuma ya pazia, ww ngoja ununue tukukute nayo
Hata msibani watu hucheka.pole sana ndugu, ila kuna wakati jamani tupunguze maneno ya kejeri siyo vizuri mtu amepatwa na tatizo sisi tunamletea maneno ya dharau. ni vile haijakutokea wewe ndo maana.
ππππππ Sema unapiga mkwara sana badala ya kuomba usaidiweTatizo sio kununua nyingine, kuna vitu ving nyuma ya pazia, ww ngoja ununue tukukute nayo
Mkwara hausaidii.Nimeamini kwa nini ukiitiwa mwizi unauawa sekunde moja,
Nimeibiwa Computer aina ya Toshiba dynamic setelite L20, simu Samsung galaxy grand prime na pesa ndani yaani nimepandwa na hasira balaa
Lakini kama utajichanganya kununua kimoja wapo imekula kwako, Simu ipo tunaimonitor kwa IMEI na Android apps, ikikutwa kwako hutaamini kitakachotokea
Ukiviona kwa mtu tujulishe kwa:
Cc: 0753 978 248
Zawadi nono itatolewa