Usinunue Smartphone kwa mtu hata kama anauza elfu 10,

Usinunue Smartphone kwa mtu hata kama anauza elfu 10,

Umeanza kututisha kua ukimkuta navyo mtu atajua, then unataka upewe taarifa ya mahali vilipo. Lambda kama mtu hajipendi
 
If u lose your mobile you can trace it back.

Most of us always fear that our Mobile may be stolen at any time.

Each mobile carries a unique
IMEI no. i.e. International Mobile Equipment Identity No which can be used to track your mobile anywhere in the world.

This is how it works!!

1. Dial *#06# from your mobile.

2. Your mobile shows a unique 15 digit.

3. Note down this number at a secure place except in your mobile phone itself as this is the Number which will help trace your mobile in Case of a theft.

4. Once stolen you just have to E-mail this 15 digit IMEI No. to cop@vsnl.net with details as below.

Your name:____________________
Address:______________________
Phone model:_________________
Make:_________________________
Last used No.:_________________
E-mail for communication:_____
Missed date:___________________
IMEI No :_______________________

5. No need to go to the police.

6. Your Mobile will be traced within next 24 hrs via a complex system of GPRS and internet, You will find where your hand set is being operated and the new user's no. will be sent to your email.
Hapo imefika
 
Nimeamini kwa nini ukiitiwa mwizi unauawa sekunde moja,

Nimeibiwa Computer aina ya Toshiba dynamic setelite L20, simu Samsung galaxy grand prime na pesa ndani yaani nimepandwa na hasira balaa

Lakini kama utajichanganya kununua kimoja wapo imekula kwako, Simu ipo tunaimonitor kwa IMEI na Android apps, ikikutwa kwako hutaamini kitakachotokea

Ukiviona kwa mtu tujulishe kwa:

Cc: 0753 978 248

Zawadi nono itatolewa
Mkwara wa mwaka 47
 
Siku hizi hawauzi simu/computer nzima nzima, badala yake wamekuwa wakichomoa vifaa kidogokidogo na kiviuza, hadi inabaki Hard disc tu iliyo na hizo IMEI Namba...
 
Nimeamini kwa nini ukiitiwa mwizi unauawa sekunde moja,

Nimeibiwa Computer aina ya Toshiba dynamic setelite L20, simu Samsung galaxy grand prime na pesa ndani yaani nimepandwa na hasira balaa

Lakini kama utajichanganya kununua kimoja wapo imekula kwako, Simu ipo tunaimonitor kwa IMEI na Android apps, ikikutwa kwako hutaamini kitakachotokea

Ukiviona kwa mtu tujulishe kwa:

Cc: 0753 978 248

Zawadi nono itatolewa
Hizi mikwara zako ni hasira badala ya kuibiwa, si ajabu ni mara ya kwanza kuibiwa ndo maana una hasira hivi, kama ni kukamata labda akiuziwa boya lakini ikipita kwenye mikononi kama yangu itabidi uisahau kabisa, iPhone ndo zinatusumbua kwa sasa lakini sio android phones
 
Hakuna simu inayosumbua mzee,labda itoke juu mbinguni lakini sio ya kutengenezwa kiwandani
 
Nimeamini kwa nini ukiitiwa mwizi unauawa sekunde moja,

Nimeibiwa Computer aina ya Toshiba dynamic setelite L20, simu Samsung galaxy grand prime na pesa ndani yaani nimepandwa na hasira balaa

Lakini kama utajichanganya kununua kimoja wapo imekula kwako, Simu ipo tunaimonitor kwa IMEI na Android apps, ikikutwa kwako hutaamini kitakachotokea

Ukiviona kwa mtu tujulishe kwa:

Cc: 0753 978 248

Zawadi nono itatolewa
Acha ubinafsi wewe!!.. kwani binadamu mwenzako akitumia simu yako kuna ubaya gani?!.. mi mbona nimeibiwa simu ya zaidi ya milioni na Jose, na kila siku namwona online jf lakini nimetulia na maisha yanaendelea.. jifunze kumuachia Mungu kazi ya kuhukumu wezi.
 
Mikwara mbuzi hiyo,kumbuka uchawi wala vitisho haviendi kwa mentali. Imekula kwako kaa chini na ndugu zao muugulie maana imeandikwa mchuma janga hula na wa kwao. Binya binya binya tena hahahaha...
 
Hyo IMEI watoto wa mjini wanacheza nayo dakika sifuri tu inawekwa nyengine.omba tu aipate asiyejua.
 
Yaan unaibiwa simu ya bei rahisi unajambajamba kama mtoto mdogo.Acha kupoteza muda kufatlia upuuz.kuna iphone mpya zimetoka fanya udake yako
 
For 100% simu inapatikana, labda computer tu ntawajuza ila ombea isiwe wewe

Pia hii ni kama tahadhari kwa ndugu zang wote wanaonunua used for bila kuhoji, yasije wakuta mabaya hata siku nyingne, dunia imebadilika kiteknolojia
Hiyo mpka muda huuu IMEI itakuwa inasoma ya tecno, kuna jamaaa alipigwa samsung ya maaana alimwaga hela ili itafutwe, mwaka sas watu zamni walishakula IMEI NUMBER
 
kanunue simu nyingine wew
tena umewataarifisha inaenda kiuzwa Kenya, Uganda, au tunachomoa kifaa kimoja kimoja potezeni muda na IMEI cjui password iPhone x na ubora wa password ya sura lakini zishadukuliwa
 
If u lose your mobile you can trace it back.

Most of us always fear that our Mobile may be stolen at any time.

Each mobile carries a unique
IMEI no. i.e. International Mobile Equipment Identity No which can be used to track your mobile anywhere in the world.

This is how it works!!

1. Dial *#06# from your mobile.

2. Your mobile shows a unique 15 digit.

3. Note down this number at a secure place except in your mobile phone itself as this is the Number which will help trace your mobile in Case of a theft.

4. Once stolen you just have to E-mail this 15 digit IMEI No. to cop@vsnl.net with details as below.

Your name:____________________
Address:______________________
Phone model:_________________
Make:_________________________
Last used No.:_________________
E-mail for communication:_____
Missed date:___________________
IMEI No :_______________________

5. No need to go to the police.

6. Your Mobile will be traced within next 24 hrs via a complex system of GPRS and internet, You will find where your hand set is being operated and the new user's no. will be sent to your email.
Kaka Hizo IMEI mbona zinabadilishika,hata mimi naweza kubadilisha.
 
ninayo mimi tayari huku vp monotor yako inakwambia nipo wapi
 
Back
Top Bottom