Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji5]boya kweli wewe sasa watu wakale wapi ungeibiwa iphone x si ndo ungemtoa kafara mzazi wako...tulia dawa ikuingie
Mzazi umepewa shule siku nyingine uwahi mapema,tunanunua km kawa na haumkamati mtu......Nimeamini kwa nini ukiitiwa mwizi unauawa sekunde moja,
Nimeibiwa Computer aina ya Toshiba dynamic setelite L20, simu Samsung galaxy grand prime na pesa ndani yaani nimepandwa na hasira balaa
Lakini kama utajichanganya kununua kimoja wapo imekula kwako, Simu ipo tunaimonitor kwa IMEI na Android apps, ikikutwa kwako hutaamini kitakachotokea
Ukiviona kwa mtu tujulishe kwa:
Cc: 0753 978 248
Zawadi nono itatolewa
Nimeamini kwa nini ukiitiwa mwizi unauawa sekunde moja,
Nimeibiwa Computer aina ya Toshiba dynamic setelite L20, simu Samsung galaxy grand prime na pesa ndani yaani nimepandwa na hasira balaa
Lakini kama utajichanganya kununua kimoja wapo imekula kwako, Simu ipo tunaimonitor kwa IMEI na Android apps, ikikutwa kwako hutaamini kitakachotokea
Ukiviona kwa mtu tujulishe kwa:
Cc: 0753 978 248
Zawadi nono itatolewa
Skuhz wanabadil imei number na ndo bas tena kuipata kama wakifanya hvyohona kama sadaka ilimradi haukuzurika.vinatafutwa
Asante kwa kuwaelimisha, hii n moja ya njia sahihiIf u lose your mobile you can trace it back.
Most of us always fear that our Mobile may be stolen at any time.
Each mobile carries a unique
IMEI no. i.e. International Mobile Equipment Identity No which can be used to track your mobile anywhere in the world.
This is how it works!!
1. Dial *#06# from your mobile.
2. Your mobile shows a unique 15 digit.
3. Note down this number at a secure place except in your mobile phone itself as this is the Number which will help trace your mobile in Case of a theft.
4. Once stolen you just have to E-mail this 15 digit IMEI No. to cop@vsnl.net with details as below.
Your name:____________________
Address:______________________
Phone model:_________________
Make:_________________________
Last used No.:_________________
E-mail for communication:_____
Missed date:___________________
IMEI No :_______________________
5. No need to go to the police.
6. Your Mobile will be traced within next 24 hrs via a complex system of GPRS and internet, You will find where your hand set is being operated and the new user's no. will be sent to your email.
hivi unadhani kila mtanzania (mpk wezi) wanaingia JF? wewe fuatilia polisi na tumia hizo njia zako upate vitu vyako sio kutoa povu JFNimeamini kwa nini ukiitiwa mwizi unauawa sekunde moja,
Nimeibiwa Computer aina ya Toshiba dynamic setelite L20, simu Samsung galaxy grand prime na pesa ndani yaani nimepandwa na hasira balaa
Lakini kama utajichanganya kununua kimoja wapo imekula kwako, Simu ipo tunaimonitor kwa IMEI na Android apps, ikikutwa kwako hutaamini kitakachotokea
Ukiviona kwa mtu tujulishe kwa:
Cc: 0753 978 248
Zawadi nono itatolewa
Simu au laptops zinazoibiwa Tanzania huwa haziuzwi nchini,ndio maana simu nyingi za mkononi zilizozagaa mitaani zimeibiwa South Africa.Huyo ni mgeni na mambo ya town ndio maana anachimba mkwara bubu.Achana na hizo mambo kanunue simu ingine, suppose akaiuza Kenya uko au Somalia..
Kweli dunia imebadilika kiteknolojia hivyo utambue pia ya kwamba imei namba siku hizi mafundi wanauwezo kubadilisha. Labda huyo mtu aliyekuibia awe boya.For 100% simu inapatikana, labda computer tu ntawajuza ila ombea isiwe wewe
Pia hii ni kama tahadhari kwa ndugu zang wote wanaonunua used for bila kuhoji, yasije wakuta mabaya hata siku nyingne, dunia imebadilika kiteknolojia
Ikiuzwa buku tano naruhusiwa kununua?Nimeamini kwa nini ukiitiwa mwizi unauawa sekunde moja,