Usinunue Smartphone kwa mtu hata kama anauza elfu 10,

Huyu jamaa mlocal kweli kweli
Mpaka hapo technology imekupita kushoto[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

IMEI NUMBER tunabadilisha dk 0 na hauji kuipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
 
Punguza mikwara basi simu imeshaenda hiyo jichange ununue kali zaidi ya hiyo wakuibie tena
 
Yaani unaaminia IMEI kama nn vile!! Waulize wenzio mkuu, ingekua IPhone hapo sawa kutoa i cloud ni ngumu lakini hizo IMEI zenu mziamini mkiwa huko huko koromije kwenu na sio huku Aggrey
 
Sasa unaimonitor kwa IMEI half hapo hapo unasema atakayoipata zawadi nono

Mkuu hapa unaomba ushauri,msaada au unatutishia,,????
Mara usinunue Smartphone hata kwa elf 10
Naomba ufafanuzi tafadhali
 
cop@vsnl.net was an id of Chennai police which ceases to exist, it was first published in The Hindu website post then some users randomly started posting articles about the above that the Chennai Police id DOES help when phone is lost. Now it is flooded with many such posts that suggest that you can find your lost mobile phone if you send mail along with some details to this id.
Existence or nonexistence of this email id can be verified at
Verify Email Address Online - Free Email Verifier - Free Email Address Verification
These articles come with a message and claims that people who have lost their mobile phones can email their complaint, along with the IMEI number and other essential details of the mobile phone so as to trace and track it back from anywhere in the world. The story is a mix of facts & misleading info. The email id cop@vsnl.net provided in was that of the Commissioner of Police, Chennai, and yes, it was a fact that if you send an email from anywhere in India, it will reach the Commissioner of Police, Chennai City Police, Chennai. there have also been instances in the past where the Chennai Police have solved mobile theft cases using the International Mobile Equipment Identity (IMEI) numbers.
However there is no guarantee that mobile thefts from all over the country will be handled by them. This service is most definitely applicable only for particular state of Tamil Nadu, and not anything beyond their jurisdiction.
Therefore, this message is misleading when it claims that everyone can trace and track back their lost mobile phones using this service. It is also important to note that the official website of Tamil Nadu is not active, since it was hacked earlier this year, and the email service also NOT working.
Thats all i know
 
Tatizo sio kununua nyingine, kuna vitu ving nyuma ya pazia, ww ngoja ununue tukukute nayo
Pole sana mkuu, Ila siku hizi naona simu used TZ zinatoka sana Uganda inawezekana hata za TZ pia zinaenda Uganda
 
hii huduma ni bure au unalipia
 
Jinga wewe! Eti "tunaimonitor kwa IMEI na Android apps"!! Kwa aliyeiba ni suala dogo tu la kuzima location kwenye simu thats it! Wala hakuna haja ya ku-flash. Huipati tena! Kwanza ka simu kenyewe ni Samsung Grand Prime.... teh teh..
 
WAle vibaka hawana muda wa kuingia JF. Unatupigia kelele tusiohusika.
 
Una uhakika asilimia ngapi kwamba atakaye nunua hizo device atapitia huu uzi wako hapa jf?
 
Siku hizi wanaiba na kuuza vifaa, nenda Kariakoo kuna maduka kibao ya vifaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


You have given a tithe to your 'god'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…