Usioe au kuolewa sababu unamhurumia huyo mtu. Oa au olewa sababu unampenda

Usioe au kuolewa sababu unamhurumia huyo mtu. Oa au olewa sababu unampenda

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Kuna ujinga unakuta mtu anasema naoa au naolewa sababu namhurumia huyo mtu ninayemuoa au ninayeolewa naye.

Usioe au kuolewa sababu unamhurumia huyo mtu, oa au olewa sababu unampenda huyo mtu.

Kigezo kikubwa kiwe upendo sio huruma.
 
Kuna ujinga unakuta mtu anasema nao au naolewa sababu namhurumia huyo mtu ninayemuoa au ninayeolewa naye

Usioe au kuolewa sababu unamhurumia huyo mtu, oa au olewa sababu unampenda huyo mtu

Kigezo kikubwa kiwe upendo sio huruma
Utapenda je mtu bila kumruhumia?
 
Kuna ujinga unakuta mtu anasema naoa au naolewa sababu namhurumia huyo mtu ninayemuoa au ninayeolewa naye

Usioe au kuolewa sababu unamhurumia huyo mtu, oa au olewa sababu unampenda huyo mtu

Kigezo kikubwa kiwe upendo sio huruma
Kigezo cha kuoa au kuolewa kinapaswa kwenda beyond, vipi kuhusu utayari?
 
Kuna ujinga unakuta mtu anasema naoa au naolewa sababu namhurumia huyo mtu ninayemuoa au ninayeolewa naye

Usioe au kuolewa sababu unamhurumia huyo mtu, oa au olewa sababu unampenda huyo mtu

Kigezo kikubwa kiwe upendo sio huruma
Tunaanza na kumjua= kumruhumia=kumsaidia= kumpenda= kumuoa........huo ni mnyororo moja huwezi kuatenganisha huwezi kuoa mtu usio mhurumia au huwezi kupenda mtu usio mhurumia.
 
Kuna ujinga unakuta mtu anasema naoa au naolewa sababu namhurumia huyo mtu ninayemuoa au ninayeolewa naye

Usioe au kuolewa sababu unamhurumia huyo mtu, oa au olewa sababu unampenda huyo mtu

Kigezo kikubwa kiwe upendo sio huruma
Uko sahihi...
 
Uko sahihi naunga mkono hoja
 
Utajuaje unampenda mtu?

Ukiweza mvumilia katika matukio anayokupiga na bado huoni sababu ya kumuacha basi huyo Umempenda.

Ukiona matukio anayokupiga huyawezi,huyamudu, basi songa mbele kama injili tafuta uliempenda Umuoe/Akuoe.

Tunaoa/kuolewa na tunaowapenda na sio wanaotupenda.

Ukiweza Penda utaweza vumilia aina zote za matukio/maisha na hapo ndipo penye upendo.
 
Utamu wa ndoa kumchonga wa kwako..!
 
Attachments

  • FB_IMG_1729317114934.jpg
    FB_IMG_1729317114934.jpg
    77.7 KB · Views: 6
Hii inafanya nini jukwaa la siasa? Peleka mmu.
 
Fafanua kidogo kuhusu utayari unamaanisha nini?
Katika utayari mtu anakwenda beyond emotions.

Kwa kwenda beyond emotions anakuwa ametumia maturity kufanya reasoning ili kujua kama ana utayari wa kukubali kwamba kwenye ndoa anapaswa kufikiria kama yupo tayari kuachana na ubinafsi, yupo tayari kuchangia katika kuijenga na kuiimarisha taasisi ya ndoa badala ya kufikiria kama sehemu ya kuvuna, kama yupo tayari kuelewa ndoa ndiyo chimbuko na asili ya watoto wake na ndiyo kwao, siyo kwa babu au bibi.

Utayari wa kujinyima kutumia muda mwingi na marafiki na watu wengineo na mambo mengine, na kuruhusu Utayari wa kutumia muda mwingi na mwenza na kuwa muwazi.

Utayari wa kuona kwamba kupenda siyo kitu pekee cha kiangalia, bali anapaswa kujiuliza na kuona kama huyo ampendaye atafaa. Upendo unapaswa ku add value katika maisha badala ya kuwa chanzo cha mateso, majuto n.k, hivyo ni muhimu sana baada ya kupenda mtu akajiuliza kama ampendaye atamfaa.

Kwa uchache ni utayari katika hayo.
 
Back
Top Bottom