Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Dawa gani hii?Wakati takwimu mbalimbali zikionyesha mimba shuleni, vyuoni zikipungua, Mwananchi limebaini kuzuka kwa mbinu mpya haramu za utoaji mimba ambapo dawa zilizotengenezwa maalumu kutibu magonjwa ya aina fulani, ndizo zinazotumika kinyume kufanikisha vitendo hivyo.
ππππππππBora kuoa malaya kuliko feminist
Binafsi napenda wanawake wababe, wale wanaojiona makaksi (Feminist type) ili niwaonyeshe kua bado watabaki kua wanawake tu no matter their attitude
Ninako kamoja hako,kembambaa keupe ni mulemule unavyo sema Mkuu!!Hawana hisia hao mbwa, ila unakuta kuna msela anakapelekesha vibayaaa
Na vinakuwanga vyembamba
Wanawake wanene wengi wako peace sana cc HB Zadd hata ukienda kwenye maofisi/maduka ukikuta mwanamke mnene utapewa customer care nzuri.ππππππππ
Kabisaa!
Halafu feminist wengi ni vimbaumbau. Ni nadra sana kukuta supa dupa yutong eti feminist....
View attachment 2568929