Usioe hawa wajinga wanaojiita feminist ni hovyo kabisa

Usioe hawa wajinga wanaojiita feminist ni hovyo kabisa

The so called "SUPER WOMEN"ni shida wakuu!!!kucha bandia tena marefu kama reki,kope bandia,nywele bandia hadi maisha bandia yaani,usimbe ukutane nako ka hivyo!
 
Nesi mkunga

Mtoa mada ata maana ya Feminist huijui[emoji1787]

Binafsi nafaham kua Mwanaume ameumbwa kuwa mfalme mbele ya mwanamke na huu ni uumbaji huwezi kuubadirisha na kila Mwanaume yuko hivyo mbele ya mwanamke na ukishindwa kumuentartain lazima alale mbele..ndio maana ya Mwanaume kuwa Kichwa

Sasa wewe unaonekana hupendi kabisa challenge na mwanamke anayejitegemea ni threat kwako..unapaswa kufaham kua kila Mwanaume ana character zake na vigezo vyake anavyoangalia kwa mwanamke, kuna ambao hao unaowaponda ndio wanaowapenda, wewe kama unapenda submissive wife then tafuta oa sio kuponda wengine
the really definition of the feminist....Hakuna mwanaume anataka challenge za kipuuz kutoka kwa mwanamke.
Refer kwa video inayozungumziwa.
 
Nesi mkunga

Mtoa mada ata maana ya Feminist huijui🤣

Umejichanganya Dada yangu. Kwa ujumla kila mwanaume anapenda awe na mke mnyenyekevu - submissive wife. Hili ni jambo la asili. Kinyume na hapo hakutakuwa na masikilizano.
 
Binafsi napenda wanawake wababe, wale wanaojiona makaksi (Feminist type) ili niwaonyeshe kua bado watabaki kua wanawake tu no matter their attitude

Mkuu wale wababe ni bora ila kuna feminist wapuuzi ni midomo chonga chonga 24hrs nyumba haikaliki!
 
the really definition of the feminist....Hakuna mwanaume anataka challenge za kipuuz kutoka kwa mwanamke.
Refer kwa video inayozungumziwa.

Uko sawa mkuu, dhana ya feminism kwa undani wake haina ubaya ila kuna WAPUUZI wachache kwenye nchi zetu hizi wanchukulia kwa mapokeo yao, hawa ndio wanaotuletea kero kwenye kaya zetu unaishia kumkata makofi![emoji3]

“simply, feminism is about all genders having equal rights and opportunities. It's about respecting diverse women's experiences, identities, knowledge and strengths, and striving to empower all women to realise their full rights.”
 
Back
Top Bottom