VENKO
Senior Member
- Mar 3, 2025
- 156
- 276
Sasa bikra inaonekana kwa macho? Au ndo kuanza kulomba mmojammoja mpaka ipatikane?ezi za zamani tulikuwa tunataftia kisimani, saiv unaweza kutafta njiani, sokoni, kanisan n.k
Sasa bikra inaonekana kwa macho? Au ndo kuanza kulomba mmojammoja mpaka ipatikane?ezi za zamani tulikuwa tunataftia kisimani, saiv unaweza kutafta njiani, sokoni, kanisan n.k
😹😹😹😹 inatoshaMbona umeandika kwa code kama Britannica ? Funguka vizuri basi 😂
Hiyo nimetoa code kwa mabinti tu, wasikurupuke.Sijaelewa bado, toa darasa utusaidie Kaka zako
Kwanini kuwe na risk kwenye issue ya upendo. Please enlighten me what are the risks associated with marriageIf you are not willing to take risks, don’t get married… Anyways ni thread ya wanaume hii
Hii kazi nyengine yaani nitafute bikra kwa ajili ya kuoa afu ukishaipata una tafuta pesa kwa ajili ya mahari na ukishaona unatafuta mchepuko kwa ajili ya kurefresh gamekama unandoto za kupata mke dar inatakiwa ufanye kaz haswaa.
Mikoani bikra ni nyingi labda uvivu wa mtu kutafta.
Ni kwasababu jamii mnawapa presha. Mwisho mtu anaona bora tu hata anayepumua. Matokeo yake wanachinjanaAisee 😄
Lakini wakifika third floor huwa wanatoa milio kimya kimya kama bado hawana ndoa , au hata kupata mtongozo wa kueleweka