interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Tena kama ukoma maana kanaweza kakawa kana mapungufu mengi kitabia so kanaamua kujificha kupitia kichaka cha kukuwezesha kifedha ili ukitaka kukashepu kitabia kajitetee kuwa "lkn pa1 na yote niliyokukosea si bado nakupenda sana, huoni jnc gani ninavyokuthamini hadi nakutumia pesa zangu ujikimu ktk mahitaji yako?"
Kuna kabint hv tulibadilishana phone number baada ya dk 5 nikachek sms kame nitumi pesa
Sasa vbinti vya namna hii navyo tukiviona tukimbie?