NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,301
- 2,977
[emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa nahisi nakufahamuUkipata msichana akawa ni mnyakusa mwalimu usioe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa nahisi nakufahamuUkipata msichana akawa ni mnyakusa mwalimu usioe
acha uoga mkuuuBinti au mwanamke msambaa usioe kimbia vunja miguu kabisa,baadhi ni washirikina baala mimi mwenyewe kidogo nichomolewe betri.
Mkuu kwahiyo betri unayo?Niligundua baada ya ex wife kwenda kwa mtaalam wa tiba za asili ambaye ananifahamu,huyu mtaalamu wa tiba asili roho ya huruma ilimjia baada ya kugundua naelekea kuchomolewa betri kwa mujibu wa maelezo ya ex wife.akawa ana mrekodi kisha ananirushia maongezi aliyokuwa anaongea ex wife.nikaamua kumtimua kabla hajanichomolea betri.
Wamesha m do ~ mimi na mwelewa sana
Oa kabila lako tena awe jirani yakoKwa lugha nyepesi hakuna tena kuoa.
Betri namaanisha uhai,kuchomoa betri ni kuondoa uhai.Mkuu kwahiyo betri unayo?
Ukiona msichana ni Mnyiramba au Mu Iraq usioe...
Mu BaghdadMuiraq yaani Mmbulu sio?
Hahaha[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
- Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo fupi na kuingia barabarani bila aibu akitembea USIOE.
- Úkiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo ya kubana sana halafu anatembea bila aibu mtaani USIOE
- Ukiona msichana anakunywa pombe na kulewa akiwa bar USIOE
- Úkiona msichana anaujasiri wa kusimama na wanaume hovyo barabarni bila kuona aibu USIOE
- Ukiona msichana anaujasiri wa kukujibu mbovu hadharani USIOE
- Ukiona msichana anatoa hela anasuguliwa miguu USIOE
- Ukiona msichana unamtumia vocha halafu anakubipu USIOE >
-Ukiona msichana ni mjuaji juaji USIOE
-ukiona msichana ni muongeaji sanduku la maoni la mwendokasi likasome USIOE
-ukiona msichana ametendwa zaidi ya Mara mbili kwenye mahusiano USIOE
-ukiona msichana anapenda kupigia picha kwenye dressing table za lodge, kwa marafiki, saloon huku yeye dressing table yake ni dirishani USIOE
-ukiona msichana amehudhuria harusi zaidi ya tano na bado yupo kwao USIOE
-ukiona msichana kavaa mipete kumbe Hana mume wala mchumba USIOE huyo tayari keshaolewa na shetani
-Ukiona msichana anapenda Sana kupiga picha na kuonesha makalio kwa kuyabinua Kama mtetea anaandaa mazingira ya kupandwa na jogoo USIOE
-Ukiona msichana........ ENDELEA NA WEWE [emoji3][emoji3]View attachment 1114361
Kazi ipoNikiona anavaa kikuku je?View attachment 1270840
HahahaUkiona msichana ni Mnyiramba au Mu Iraq usioe...
Ukipata msichana akawa ni mnyakusa mwalimu usioe
HahahaMkuu upo katika movement gani? Kila siku Mada zako ni kupinga ndoa tu[emoji53]