Usioe wala kuolewa na mwenza ambaye wazazi wake ndio kipaumbele chake kuliko wewe

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
USIOE WALA KUOLEWA NA MWENZA AMBAYE WAZAZI WAKE NDIO KIPAOMBELE CHAKE KULIKO WEWE.

Anaandika, Robert Heriel Tz
Mtibeli

Huyo hajitambui.
Hajui maana ya kuwa Mume au Mke.
Hajui maana ya kuwa Baba au Mama wa Familia.

Hajui maana ya kuwa kichwa cha familia. Kiufupi hakuna mtu hapo.

Hayupo tayari kuanzisha ufalme wake, milki yake, familia yake. Yupoyupo. Bado anaakili za kitoto.

Sio kiongozi, hana uanaume wowote. Bado ni mtoto. Hana uungu wowote.
Kamwe usimuite Mume mwanaume wa aina hiyo. Huyo sio mume na hana sifa za kuwa Mume.
Kamwe usimuite Mke mwanamke wa aina hiyo. Unapoteza muda na heshima yako.

Moja ya dalili mtu amekuwa na anafamilia yake. Ni anajua kutofautisha familia yake na familia ya wazazi au Wakwe zake.

Mzazi ni mzazi. Lakini kuwa mzazi haimaanishi ndio Aingilie maisha na familia yako, utawala wako, ufalme wako. Ni kwamba hujitambui wewe.

Mama atabaki Mama lakini katika nafasi ya umama. Mama mamlaka yake inaishia nyumbani kwake sio kwako.
Ukishaoa au kuolewa mamlaka ya Mama haina kazi yoyote nyumbani kwako. Atabaki Mama yako tuu.

Mkeo na mumeo wanaowajibu wa kumheshimu mzazi wako. Lakini heshima haimaanishi kuwa KIPAOMBELE.

Sisi Watibeli, hatupo tayari na haiwezekani kuishi na mke au mume ambaye KIPAOMBELE chake ni wazazi wake. Tutafukuza mapema bila vikao.

Hatuishi kwa kuangalia jana. Tunaishi kwa kuangalia mbele.

Tunapooa, maslahi ya kwanza ni familia tulizozianzisha. Mume/Mke kisha watoto.
Hiyo ndio Shabaha na KIPAOMBELE chetu kilubwa. Kisha ndio wanafuata wazazi, then ndugu, jamaa na marafiki.

Watoto wetu nao wakikua nao wafanye vivyohivyo.
Haiwezekani nizae litoto lijinga lisilo jitambua.

Yaani mimi Baba yake niwe KIPAOMBELE kuliko mkewe au mumewe. Huyo mtoto hawezi kuwa mtoto wangu. Kwa sababu siwezi kuzaa mtoto mwenye akili ndogo, asiyejitambua. Asiyejua nini maana ya ufalme na himaya yake.

Mtoto badala ajenge himaya yake anahangaika kujenga himaya ya Baba au Mama yake. Ni jamii za hovyo ndio hufanya hivyo.

Tunaanzisha familia ili kuexpand Ufalme. Nimezaa watoto watano.kila mtoto akaanzishe familia yake na ajenge familia yake iwe imara. Sio ahangaike kujenga himaya yangu.

Kwani mimi Baba yao nilikuwa wapi?

Mwanangu, ukishaanzisha familia yako fuata protocol.
Familia yako ndio KIPAOMBELE chako. Family First.
Kisha Wazazi wako ni KIPAOMBELE cha pili.
Kisha ndugu zako, Kisha rafiki zako.

Ndivyo Watibeli tulivyo.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Ukishakuwa mfuasi wa family first lazima utifuane na wazazi haswaa Mama zetu, sijui kwanini ipo hivi
 
Uzi mzuri wa kipimo cha kufikiri,kujisimamia na kudhihirisha ukomavu.
 
Back
Top Bottom