Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Lamomy best ako alokutanaga na mwanamke simba akasome ameendeleza pale alipoishiaga hukuuuuuπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡
 
Umekaelewa nini? Ama ni baada ya kuona kaliandika kapo Arusha? Ukaona hutosumbuka kutuma nauli? PoleeeeπŸ€­πŸ˜‚
Sijamuelewa mleta mada, wengine tulioa waimba kwaya wasioijua hata FB miaka hiyo. Sasa tunaishi kama tuko gaza, yaani ni kazi, hakana plan yoyote ya maisha, unakapa hela kwenda sokoni kanaficha 50%. Ndani ni kelele na jeuri.
 
Hahaa kwanza pole,, pili imeshindikana kabisa kumuelekeza lugha uitakayo? ( Love Language yako?

Amegoma?
 
Tunaomba majina yao basi.
 
Tena?
Humu wamesema wanapenda kupiga mizinga ,we unasema,wanaontesha hawana shobo ( hawapendi) pesa za wanaume,πŸ˜‚πŸ€­
Tushike lipi ss jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…