Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Eeehhhh.



Mhhhhhhhh.



Huu Uzi mbona hata hamkunitag wakuu, acheni Roho mbaya wakuuu
 
Case study ni Nifah na jasusi
 
Na uje kuongelea na wanaume pia
 
Sasa tukaolewe na akina nani jamani, msitufanyie hivyo😀 wa humu jf ndiyo hao waliopo mtaani, so tabia mbaya inategemea na mtu mwenyewe, anaweza asiwe jf na akawa na tabia mbovu pia.

Just be careful popote utakapopata mwenzi, iwe jf au mtaani
 
Sasa tukaolewe na akina nani jamani, msitufanyie hivyo[emoji3] wa humu jf ndiyo hao waliopo mtaani, so tabia mbaya inategemea na mtu mwenyewe, anaweza asiwe jf na akawa na tabia mbovu pia.

Just be careful popote utakapopata mwenzi, iwe jf au mtaani
Huku ni kama kutafuta mke telegram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…