Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

maandalizi yalikua mabovu na fataki zilichelewa kuwasili.

Nilijua upo pande hizi tunywe ata mafuta taaaaa tusuuze koo la mwaka mpya
Kumbee? Mm nilikuwa Gold Crest Hotel
Naona za Melia na za Mount Meru
Walizidiwa,, East Africa alikiwasha mno
 
And here we go again!!

Kuna member aliwahi leta uzi kuwa jf men wengi ni gays. Hii ilikuwa ni baada ya kuwepo kwa nyuzi mfululizo kama tatu za confession za wanaume gays. Akasema ni kwasababu hawa wanawake ni competitors wao hivyo ili wawatoe mchezoni inabidi itumike nguvu kubwa kuonyesha wanawake hawafai.

Sababu zingine alizotoa ni kuwa
-Nyingi ya id za ke humu ndani ni za wanaume
-Wanaume wengi humu ni kama wako kwenye campaign ya kuwatukana wanawake
-Wazee wa kataa ndoa maana hakuna mwanaume timamu na rijali atafanya hicho kitu
-Jf tunatumia id fake hivyo kwao ni rahisi kujimwambafy maana hakuna anayemfahamu tofauti na mtaani ambako jamii wala serikali haiwataki.

Ila ule uzi ulifutwa shwaaaaa!! Ila ukija uzi wa kuwasimanga wanawake saaasa unavyoshamiri.

BTW mtoa mada pole kwa yaliyokukuta.
 
Mfafanulie, hizo bei ni plus na nn?
Ground napenda tu upande wa pool bar
Rooftop [emoji108][emoji108]
Hiyo laki anazama rooftop na anapewa premium sparkling moja

Hiyo fifte ananyonya drink atakayoikuta ya bei chee huko ground floor

Hiyo $400 / table / 4.... sijaifatilia sana hii maana sinawa kukaa nao hapo.

Mm nitakua kule rooftop naangalia mlima meru unavyo mulikwa na fataki kuudondosha mwaka.

Nb.. kama ana gari awahi mapema ili apate parking maana parking zinajaaga si mchezo. Unaweza acha gari huko road unapokea mwaka huku unawaza vibaka wanachokonoa ndinga
 
And here we go again!!

Kuna member aliwahi leta uzi kuwa jf men wengi ni gays. Hii ilikuwa ni baada ya kuwepo kwa nyuzi mfululizo kama tatu za confession za wanaume gays. Akasema ni kwasababu hawa wanawake ni competitors wao hivyo ili wawatoe mchezoni inabidi itumike nguvu kubwa kuonyesha wanawake hawafai.

Sababu zingine alizotoa ni kuwa
-Nyingi ya id za ke humu ndani ni za wanaume
-Wanaume wengi humu ni kama wako kwenye campaign ya kuwatukana wanawake
-Wazee wa kataa ndoa maana hakuna mwanaume timamu na rijali atafanya hicho kitu

Ila ule uzi ulifutwa shwaaaaa!! Ila ukija uzi wa kuwasimanga wanawake saaasa unavyoshamiri.

BTW mtoa mada pole kwa yaliyokukuta.
hakuna mwanaume rijali anakataa ndoa au anakataa mama, haijalishi unapigwa vizinga kiasi gani, mimi mwenyewe bila hawa ke"" naona bado sijakamilika ukitoa hela, pombe na wazazi
 
Hiyo laki anazama rooftop na anapewa premium sparkling moja

Hiyo fifte ananyonya drink atakayoikuta ya bei chee huko ground floor

Hiyo $400 / table / 4.... sijaifatilia sana hii maana sinawa kukaa nao hapo.

Mm nitakua kule rooftop naangalia mlima meru unavyo mulikwa na fataki kuudondosha mwaka.

Nb.. kama ana gari awahi mapema ili apate parking maana parking zinajaaga si mchezo. Unaweza acha gari huko road unapokea mwaka huku unawaza vibaka wanachokonoa ndinga
100k ni Out of anyfood?
Napenda Breakfast yao… ni heavy 😝

Umemchambulia vyema, achague pa kujimaliza. Pia 4 point by Sheraton ni pazur
 
Hiyo laki anazama rooftop na anapewa premium sparkling moja

Hiyo fifte ananyonya drink atakayoikuta ya bei chee huko ground floor

Hiyo $400 / table / 4.... sijaifatilia sana hii maana sinawa kukaa nao hapo.

Mm nitakua kule rooftop naangalia mlima meru unavyo mulikwa na fataki kuudondosha mwaka.

Nb.. kama ana gari awahi mapema ili apate parking maana parking zinajaaga si mchezo. Unaweza acha gari huko road unapokea mwaka huku unawaza vibaka wanachokonoa ndinga
Chuma inabak nyumban 🤣🤣 sitak masikhara yakuanza mwaka na kutafta spea
 
Kuw member wa jamii forum humfanya mtu kuw na tabia fulan,

Hizo ni tabia za mtu binafs labda useme tuu kundi la wanawake walio jamii forum linatabia..... Lakn n tabia binafs na c wote
 
Back
Top Bottom