And here we go again!!
Kuna member aliwahi leta uzi kuwa jf men wengi ni gays. Hii ilikuwa ni baada ya kuwepo kwa nyuzi mfululizo kama tatu za confession za wanaume gays. Akasema ni kwasababu hawa wanawake ni competitors wao hivyo ili wawatoe mchezoni inabidi itumike nguvu kubwa kuonyesha wanawake hawafai.
Sababu zingine alizotoa ni kuwa
-Nyingi ya id za ke humu ndani ni za wanaume
-Wanaume wengi humu ni kama wako kwenye campaign ya kuwatukana wanawake
-Wazee wa kataa ndoa maana hakuna mwanaume timamu na rijali atafanya hicho kitu
Ila ule uzi ulifutwa shwaaaaa!! Ila ukija uzi wa kuwasimanga wanawake saaasa unavyoshamiri.
BTW mtoa mada pole kwa yaliyokukuta.