Usiogope kufanya Makosa

Usiogope kufanya Makosa

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Usiogope kufanya makosa kwani kwenye kufanya makosa hakika kunaleta manufaa pia

Sikia hii,,maziwa yakiharibika yanakuwa mtindi,na mtindi unabei kubwa kuliko maziwa,,

Juisi ya dhabibu ikiharibika inakuwa wine,na wine ina gharama kubwa kuliko juisi ya dhabibu

Alexander kolumbasi alifanya makosa akiwa anasafiri baharini akajikuta yupo america,na ndio ukawa mwanzo wa kugundua eneo hilo.

Alexander flaming's alifanya makosa laboratory na kujikuta anagundua dawa ya penicilin

Kwahiyo hata wewe ukifanya makosa hauwi mbaya bali unaweza leta kitu kipya bila kutarajia kabisa

Gracias

Ni hayo tu!
 
Wilson great batch aligundua pacemaker ya moyo kwa bahati mbaya ,wakati akijaribu kutengeneza kifaa cha kurekodi mapigo ya moyo.
 
Usiogope kufanya makosa kwani kwenye kufanya makosa hakika kunaleta manufaa pia

Sikia hii,,maziwa yakiharibika yanakuwa mtindi,na mtindi unabei kubwa kuliko maziwa,,

Juisi ya dhabibu ikiharibika inakuwa wine,na wine ina gharama kubwa kuliko juisi ya dhabibu

Alexander kolumbasi alifanya makosa akiwa anasafiri baharini akajikuta yupo america,na ndio ukawa mwanzo wa kugundua eneo hilo.

Alexander flaming's alifanya makosa laboratory na kujikuta anagundua dawa ya penicilin

Kwahiyo hata wewe ukifanya makosa hauwi mbaya bali unaweza leta kitu kipya bila kutarajia kabisa

Gracias

Ni hayo tu!
Dhabibu => zabibu
Alexander Kolumbasi => Christopher Columbus
Rekebisha. Au ndio makosa yenyewe huogopi kuyafanya?
 
Nimeonyesha mfano kwamba siogopi kufanya makosa 🤣🤣
 
Kwenye mapenz ukikosea kidogo ushamtoa mwenzio marinda
 
Back
Top Bottom