Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Kwanini ulimuita gracias,,,maana yake ni asante,,,Gracias jina la binti yangu hili
Asante sana Mungu akubariki kwa bandiko Bora nimepata kitu hapa✌️✌️✌️
Nimeipenda hiiKukosea ni kujifunza.!
Nimeipenda hiiMleta mada nadhani haupo mbali na hiiView attachment 3029373
AsanteWilson great batch aligundua pacemaker ya moyo kwa bahati mbaya ,wakati akijaribu kutengeneza kifaa cha kurekodi mapigo ya moyo.
Dhabibu => zabibuUsiogope kufanya makosa kwani kwenye kufanya makosa hakika kunaleta manufaa pia
Sikia hii,,maziwa yakiharibika yanakuwa mtindi,na mtindi unabei kubwa kuliko maziwa,,
Juisi ya dhabibu ikiharibika inakuwa wine,na wine ina gharama kubwa kuliko juisi ya dhabibu
Alexander kolumbasi alifanya makosa akiwa anasafiri baharini akajikuta yupo america,na ndio ukawa mwanzo wa kugundua eneo hilo.
Alexander flaming's alifanya makosa laboratory na kujikuta anagundua dawa ya penicilin
Kwahiyo hata wewe ukifanya makosa hauwi mbaya bali unaweza leta kitu kipya bila kutarajia kabisa
Gracias
Ni hayo tu!
Nimeonyesha mfano kwamba siogopi kufanya makosa 🤣🤣Dhabibu => zabibu
Alexander Kolumbasi => Christopher Columbus
Rekebisha. Au ndio makosa yenyewe huogopi kuyafanya?
Gracias amigo (napenda sana hii lugha)Gracias amigo
KamaIla kuna makosa mengine hutakiwi kuyakosea kabisa