Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #81
Amin ndugu, bila saka nitakutafuta nadhani kama sio mwaka huu mwishoni mwakani nitakusumbua naomba usinichoke
Sawa boss karibuAmin ndugu, bila saka nitakutafuta nadhani kama sio mwaka huu mwishoni mwakani nitakusumbua naomba usinichoke
Biashara hutumii pesa yako ya mfukoni, kama study iko vizuri na faida inaonekana (numbers don’t lie) ukienda Bank watakupa pesa, kuna hela nyingi sana hazina kazi , Mabenki yanatafuta wakopaji na ndio biashara yao, ila hawapendi longolongo na wabongo wengi ndio akili zaoGharama kubwa sana, kwa mtanzania wa kawaida.