Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu

Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu

Amin ndugu, bila saka nitakutafuta nadhani kama sio mwaka huu mwishoni mwakani nitakusumbua naomba usinichoke
Screenshot_20241022_082416_WPS Office.jpg

 
KITABU CHA MWONGOZO WA UJENZI NA UENDESHAJI WA VITUO VYA MAFUTA KWA GHARAMA NAFUU


Hiki ni Kitabu cha Mwongozo wa Ujenzi na Uendeshaji wa Vituo vya Mafuta kwa Gharama Nafuu. Kitabu hiki kinatoa mwongozo kwa wamiliki na wajasiriamali wanaotaka kujenga na kuendesha vituo vya mafuta kwa njia ya gharama nafuu.

Kimeandikwa na Bright and Genius Editors, na kinalenga kuleta mwanga kwa wanaotaka kuingia kwenye biashara ya vituo vya mafuta kwa kutumia mbinu bora na za gharama nafuu.

Kujipatia Kitabu hiki watafute Bright and Genius Editors kwa email: bandg.editors@gmail.com au whatsapp: 0612607426
 
Gharama kubwa sana, kwa mtanzania wa kawaida.
Biashara hutumii pesa yako ya mfukoni, kama study iko vizuri na faida inaonekana (numbers don’t lie) ukienda Bank watakupa pesa, kuna hela nyingi sana hazina kazi , Mabenki yanatafuta wakopaji na ndio biashara yao, ila hawapendi longolongo na wabongo wengi ndio akili zao
 
Back
Top Bottom