Plot4Sale Usiogope, viwanja ni bei nafuu, wahi kabla mazingira hayajakuacha

Plot4Sale Usiogope, viwanja ni bei nafuu, wahi kabla mazingira hayajakuacha

Gumasa

Member
Joined
May 10, 2023
Posts
65
Reaction score
66
Bei zetu ni kuanzia Ts 1,500,000/=
na kuendelea.
Lakini pia kwa wale wanaohitaji viwanja vya gharama kubwa ndani ya mji vinapatikana pia.
Ukubwa wa viwanja ni 20×20.

Wahi mapema kabla hujaachwa na mazingira.

file_000000004c3c81f4968b3677162b0932.png
 
Mimi nataka kiwanja posta hapo mwanza.vipi nitapata
Kwa upande wangu hapana.
Viwanja nilivyonavyo ni Kisesa mkabala na chuo cha mipango,Sawha Buhongwa road,Fumagira,Kona ya Fella karibu na SGR,pamoja na maeneo mengine.
Karibu sana
 
Back
Top Bottom