Bei zetu ni kuanzia Ts 1,500,000/=
na kuendelea.
Lakini pia kwa wale wanaohitaji viwanja vya gharama kubwa ndani ya mji vinapatikana pia.
Ukubwa wa viwanja ni 20×20.
Kwa upande wangu hapana.
Viwanja nilivyonavyo ni Kisesa mkabala na chuo cha mipango,Sawha Buhongwa road,Fumagira,Kona ya Fella karibu na SGR,pamoja na maeneo mengine.
Karibu sana