Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inferiority complex.Jamani wanaume wafupi.. khaaaaa! Kuna kaboss hapa kafupi kana kitambi ni katata sijapa kuona! Wanaume wafupi mkoje lakini!
Huyo Anakufaa Kama Vipi Olewa Nae Mfanye Maisha.Kama ndulele
Utakuwa mwanamke wa kaskazini wewe..mhhhhh nat tru
Bosi hanuniwi
Mkuu, hapo huyo kwenye avatar ni wewe...??
Maada, Dahh... Sio kwa milk time six ilivyo choma kispasi hapo chini ya shingo.
Natanguliza samahani kwa kutoka nje ya mada, maana uzalendo umenishinda
Ahsante sana ndugu mjumbe kwa kuunga mkono hii hoja ya msingi kuliko hata food...teh
Mashallah....