chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Dhahabu ni mali ngumu kupatikana ila ikigundulika eneo au makazi yako utakoma.
Uwezi kumzuia mtu kuchimba, nyumba zitabomolewa, watu wataweka kambi watakavyo,uovu utaongezeka.
Kuna dalili naziona bora isitokee kama itakuwa kweli watu wakijua tumekwisha.
MPAKA SASA
Naomba ni ninyamaze maana tumegundua leo na ili jambo mpaka nitakapo sibitisha.sample zinaonyesha baada ya kupiga chabo.
Bahati nzuri kaja mtu wa madini na tupo kwenye maongezi kujua inatosha au ni ya kawaida.
NI KWELI ENEO KUWA NA MADINI
eneo linasemekana kuwa na madini ila lishakuwa makazi ya watu.
Bado sijapokea majibu maana nataka kujua ppm za sampuli.
Mungu ibariki tanzania.