Lugha za uswahili-Magestini ndo nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasi wasi wako tu,Mh huyu wakwangu mbona hazimiagi au anazimiaga kwa wengine...
Usiombe yakukuteUlipoanza kuona milango ya gereza inafunguka vp hukuona na ndoo ya kunyea kwa mbali[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kwehangala g house, sokoni makorora karibu na kona ya kwa chimbo jipya..Haahhhaha mtaalamu niambie iyo gest gan kaka makorora au maan noma san kijna
Yan hapo ndio huwa sielewi, sijui kalikua na njaa....[emoji3][emoji3][emoji3]Huwa wanazimia kwa nini?
Hawa wanaocheka wenzao ni kuwaombea japo liwatokee mara moja..Usiombe yakukute